Recent content by nsonzawileme

  1. nsonzawileme

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa miamba? Mbona hawajatia nia wala kuchukua fomu?

    Ngumu kumeza
  2. nsonzawileme

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna kila dalili mwaka huu CCM inatoka madarakani

    Kila mtu yuko huru kufanya chochote anachoona kinapendezavmachoni pake ili mladi asivunje sheria za nchi. Kwa hivyo hata mtoa post ametimiza wajibu wake kulingana na mawazo yake.
  3. nsonzawileme

    JamiiForums Tanzania Ninamshangaa Rais Magufuli anapotaja taja jina la Mungu madhabahuni!

    Kwa ujinga huu upinzan sahauni kuongoza hii nchi kwan hakuna mtanzania hata mmoja ambaye atawaunga mkono kwa kumkashifu rais wa watanzania ambaye anayoyafanya yanaonekana dunian kote. Hakuna nchi ambayo haitaman kuongozwa na jpm chuma cha pua rais mwenye msimamo usioyumba na mawazo chanya kwa...
  4. nsonzawileme

    JamiiForums Tanzania GE2020 Acheni utani, upinzani hakuna mtu wa kuweza kusimama na Rais Magufuli kwenye uchaguzi mkuu Oktoba

    Maneno ya mkosaji hayo. Kwa sasa ccm haina mpinzan labda mtafute nch nyingine.
  5. nsonzawileme

    JamiiForums Tanzania Siasa za Bongo na Ushirikina: Corona isiwe kichaka

    Rejea 2015 kipindi kama hiki ilikuaje? Sasa hv kisingizio ni korona. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. nsonzawileme

    JamiiForums Tanzania Upinzani ujipange, Huyu hafai kupewa tena miaka mitano

    Wapinzan wapi wa kuungangana? Labda wazaliwe wengine lkn sio hawa kina mbowe, lipumba, zitto na maalim wote wana uchu. Sahau kabisa hicho k2 kutokea tena. Rejea ya ukawa upinzan ulikua na nguvu sana lkn walipojaribu tu kuungana upinzan ukasambaratika. Yuko wapi mwanasiasa makin dk slaa? Leo...
  7. nsonzawileme

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Tanzania ina wagonjwa 13 wa Corona, 12 walitoka nao nje ya nchi na 1 kaupatia nchini (Machi 26, 2020)

    Tanzania inalindwa na mkono wa mungu pekee, sisi kama tanzania tumemkabidhi mungu taifa letu alilinde. Kufunga mipaka wala lockdown haviwez kutusaidia chochote kama mungu wetu akituacha. Cha mcngi kila mtanzania tuendelee kumuomba mungu atuepushie kikombe hiki. "Heri taifa ambalo bwana ni...
  8. nsonzawileme

    JamiiForums Tanzania Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

    Keynez, Kikubwa ni kumuomba Mungu tu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. nsonzawileme

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wamekutana na wahun Sent using Jamii Forums mobile app
  10. nsonzawileme

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Totenham kanyweshwa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. nsonzawileme

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tuvumilien tu washikaji Sent using Jamii Forums mobile app
  12. nsonzawileme

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe ahojiwa na Kamati ndogo ya maadili CCM. Asema kafurahishwa kwakuwa amepata nafasi ya kutoa maoni na kujieleza yote waliyotaka kuyajua

    Membe anachokitafuta atakipa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. nsonzawileme

    JamiiForums Tanzania Hatujawahi kuyumbishwa tangu enzi za Nyerere

    Hakuna kuteteleka ni lazma tusimame imara kuitetea nchi yetu. Sisi ni taifa huru linalojiongoza lenyewe. Ni lazma tupange mipango yetu paspo kuingiliwa. Wakikataa kwenda kwao hatuwez kulazimisha maana ni kwao. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. nsonzawileme

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Martial ananguka tu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom