Siasa za Bongo na Ushirikina: Corona isiwe kichaka

Cheef Baroka

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2019
Posts
490
Reaction score
1,023
Katika maisha ya siasa za Tanzania katika nyakati za uchaguzi toka nimepata ufahamu, nimekuwa nakishuhudia matukio ya ajabuajabu yanayohusishwa na imani za kishirikina. Kila inapokaribia uchaguzi kuna vitu kama mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, vifo vya ghafla, kupakana matope na vingine kibao huwa vinazuka.

Kwa bahati mbaya mwaka huu kipindi tumekaribia uchaguzi ndio kipindi limezuka Janga la Covid-19, hivyo akili, macho na maskio ya watu yamejikita katika janga hili.

Katika kipindi hichi tumeanza kushuhudia vifo vya hapa na pale vya wanasiasa wengi tunanasibisha vifo hivi na Corona (haijalishi imethibitika au haijathibitika).

Hofu yangu Mimi ni kwamba katika kipindi kama hichi cha Janga la taifa ambapo kila kifo kina husishwa na Corona isije ikatumika kama uchochoro kumbe nyuma ya pazia watu wanawashana makombora na kulipizana visasi huku wetendaji wakijua wengi watahisi ni Corona tu.

Wakuu, mimi huwa siamini saana haya mambo ila ki-Africa Africa; tunahusishwa saana na hizi imani, kwahiyo nikaona sio mbaya nikajadili na ndugu zangu wa JF hili jambo kwa namna hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana kabisa.. Mi ni mdau wa uchawi ushirikina na ulozi.. Kolonya ni zaidi ya hivyo vyote.. Wachawi, washirikina na walozi huwa hawasafirii nyota za matukio... Wao wana kalenda yao inayojitegemea kabisa...
Kuna kitu kwenye kolonya ya dunia na Tanzania katika ujumla wake... Mizani yake ina shida.. Kuna upande inaegemea zaidi.. Je ni ufunuo?

Jr[emoji769]
 
Ohooooo !!
 
Naam naaam mshana

Rejea 2015 kipindi kama hiki ilikuaje? Sasa hv kisingizio ni korona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namkumbuka Yule Mbunge aliyegonga WATENDAKAZI na gari lake Toyota Pick Up nyekundu ikiwa haina bima, na aliua akahukumiwa kulipa shilingi laki tatu.
Yule Mbunge wa GAMBOSHI ndiye mchawi zaidi.
Maana alinaswa na camera za bunge akiwanga na kufanya ndumba kwenye ukumbi wa bunge
 
Kwa ujumla watu wa kule hawawezi kufanya kitu bila mitishamba. Ndio maana hata mkulu saizi anatumia wakati huu kufanya yake.
 
Back
Top Bottom