Recent content by Nsombas

  1. Nsombas

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tulofanya tarehe 25 wameanza pandisha matokeo kwenye account zetu. "Not Selected for Oral Interview" imesomeka tena kwangu. Kila la kheri wapambanaji. Mimi ni rasmi sasa nijikite kwenye hiki ninachokifanya sasa.
  2. Nsombas

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nimeliwa kichwa kwa nafasi ya TAA, ninasubiri majibu ya NEMC. Kisha nitasubiri kuitwa kwenye interview ya MDAs & LGAs. Ikiwa zote hizi nitashindwa kwenda oral interview basi ninadhani safari yangu ya kuomba ajira itakuwa imeishia hapo. Mwaka wa 9 huu toka nivae joho bado patupu. Ni vema nikubali...
  3. Nsombas

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwenye "My Application" pale utaona
  4. Nsombas

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wameshaanza toa majibu ya interview ya tarehe 23 nafasi za kazi za TAA. Ingieni kwenye account zenu muone.
  5. Nsombas

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu pdf ya majina ilionesha muda wa interview ni saa 7:00 AM (Saa moja asubuhi) lakini pdf ya vituo inaonesha interview ni saa 5:00 Asubuhi. Kwenye recruitment portal profile yangu inaonesha saa 7:00 AM (saa moja asubuhi) Ipi ya kufuata hapa?
  6. Nsombas

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu, asante sana.😄😄 Itabidi tuende VETA kama alivosema PM. "X" iliwakilisha Mwanza "Y" iliwakilisha Dar Es Salaam
  7. Nsombas

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu, nilituma maombi ya kazi PSRS nikiwa Mkoa "X", hivyo anuani niliyokuwa nimeandika kwenye mfumo na kwenye barua ni ile ya huko Mkoa "X". Status ya maombi bado inasomeka Received. Kwa kifupi ni kwamba hawajatoa shortlist mpaka leo. Lakini kwa sasa nimehamia Mkoa "Y". Nimebadilisha anuani...
  8. Nsombas

    Ninaombeni connection ya kazi - Dar

    Bado mkuu. Nakuja PM
  9. Nsombas

    Ninaombeni connection ya kazi - Dar

    Yaani nirudi kwa huyu mwanamke kisa mshahara wake wa zero 6? Nina mikono miwili kabisa halafu useme nitarudi. No! Enough is enough.
  10. Nsombas

    Ninaombeni connection ya kazi - Dar

    Wakuu, nimerudi tena kwenu. MWANAMKE MSALITI HAPASWI KUPEWA SECOND CHANCE. MSAMEHE KISHA ONDOKA. Nilidhani utani kumbe kweli. Kama awali nilivosema, huyu Mwanamke kumbe ana rafiki yake wa kike ndiye wanajazana ujinga. Nimekuta wanawasiliana na kupeana updates na mbaya zaidi ni yule rafiki ake...
  11. Nsombas

    Ninaombeni connection ya kazi - Dar

    Wakuu. Habari ya Jumapili. Wakati wengine mkiwa kwenye maandalizi ya kwenda makazini kesho Jumatatu, ninaomba muendelee kuliona ombi langu hapa. Mbarikiwe sana.
  12. Nsombas

    Ninaombeni connection ya kazi - Dar

    Wakuu bado ninaendelea kuwaletea ombi langu.
  13. Nsombas

    Ninaombeni connection ya kazi - Dar

    Yes definitely
  14. Nsombas

    Ninaombeni connection ya kazi - Dar

    Mkuu, sitamani kabisa niongee nae tena haya masuala kwasababu nitazidi pokea mambo mapya ambayo yatazidi niviruga. Kwa sasa acha ni-focus kutafuta kazi yeyote itakayonipatia chochote kitu
  15. Nsombas

    Ninaombeni connection ya kazi - Dar

    Asantee sana Mkuu. Wengi hawajajua kuwa hio ni short story. Nina share na wewe WhatsApp number. Umenipa mwanga wa ombi langu lilonifanya niandike haya humu. Ubarikiwe sana.
Back
Top Bottom