Recent content by Nsk

  1. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya ualimu kwa secondary

    Mmh sio kosa lako... Asante kwa Jibu lako.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya ualimu kwa secondary

    Habari wandugu Natafuta Kazi ya ualimu kwa secondary masomo ya math na economics. Kwa shule za private mkoa wa arusha nimemaliza chuo mwaka hu 2016 na nimesomea bachelor of education.
  3. N

    JamiiForums Tanzania UDSM UE is around

    Mmh stil kuna watoto humu..bt mkikua mtaacha izo itikad zenu hafifu..
  4. N

    JamiiForums Tanzania maombi ya mkopo wa elimu ya juu kwa wahitimu waliomaliza kidato cha sita2014

    Wakuu naomba kujuzwa kuhusu continuous wanaotaka kuapply upya ni wanalipia elfu 30 kama hawa wa f6? Naomben msaada wenu coz nina ndugu yang hakupata mkopo mwaka jana.
  5. N

    JamiiForums Tanzania BOOM LA PILI 2nd SEMESTER.

    Mmmh mbna ni hataree kama ndo ivo
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti-Wanawake msichelewe kuzaa

    Axante kwa taarifa
  7. N

    JamiiForums Tanzania Bajaj, bodaboda marufuku kuingia katikati ya jiji la Dar es Salaam! Waandamana ofisi za CHADEMA

    Peoplesss power ndo suluhisho pekee la wanyonge..
  8. N

    JamiiForums Tanzania kwa waliokosa mkopo vyuo vikuu haya yanawahusu

    Mungu atusaidie coz maisha ya chuo bila loan ni magum mno smtm unawaza ata uairishe mwaka.
  9. N

    JamiiForums Tanzania HESLB - Appeals

    Mmh ni hataree kwa hal hi mtu wa kipato cha chin ataweza kuxoma?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio kozi/taaluma za muhimu duniani

    2natafuta maisha hatutafut ubora wa program 2nazoxoma wa2 ishu ni kukaza bot and try to thnk outside the box and not inside the box afu mleta uz uwe na refence,
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapi nakosea?

    Big up kaka umepitia maisha magumu mno bt nakushaur msaidie baba yako kwan utazid kupata baraka kwa Mungu.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau

    Naomben msaada majina ya walio appeal mkopo yanatoka lin?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali ( Heslb )

    Loan yako ipo bt nenda kwa wazir wa mkopo akusaidie jins ya kufatilia acha panic dogo mambo yote yataenda sawa.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa maji UDOM na athari zake...

    Hiyo ndo udom ye2 wajamen.
Back
Top Bottom