Recent content by nsimba9

  1. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maalim Seif anapodai "Mamlaka Kamili" anamaanisha kuvunja Muungano?

    Kwamba Dar es salaam ijiite nchi? Nipe mfano ndugu
  2. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maalim Seif anapodai "Mamlaka Kamili" anamaanisha kuvunja Muungano?

    Akili zipo kwa wachache! Jibu jepesi zuri
  3. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC, msiopowaita hawa raia hatutakubali huu uonevu

    Nakiri ,umasikini wa akili ni tatizo kubwa sana.
  4. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC, msiopowaita hawa raia hatutakubali huu uonevu

    in short "watendaji wa serekali " nikwa ujumla hajatajwa moja moja. Pia" mawaziri ...etc". Sasa wazir mkuu sio waziri[emoji849]
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wanandoa mnawezaje kuvumiliana kwenye hii hali?

    🤣🤣🤣
  6. N

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Nimeona hapa kuna mentality mbili ,hoja zimejikita hapa 1. Alie ajiriwa sasa ananikuta anajua kuendesha biashara from paper work sio field.(wanadai cz biashara inaweza kulipa bila kua na kazi) 2. Wenye experience na wanao miliki biashara .(biashara haiwezi kulipa bila ya kazi)
  7. N

    JamiiForums Tanzania Namba D, A, C kwenye magari zinamaanisha nini?

    Nina A ipo 79k sasa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa umuhimu wa importation documents!

    Wasalam wandugu, nataka kununua gari kwa mtu ana kadi OG ila hana importation documents za hiyo gari. Nae kanunua kwa mtu bila hizo hati. Je, vitanizuia kua mmiliki halali wa hiyo gari?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Sawa mtaalam
  10. N

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Hesabu za karatasi hizi!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Kipeo cha kuelewa kipo kwa wachache. Anadhani yule alie juu bila kufanya kazi anaakiba yakutosha kuwalisha wafanyakazi na familia yake.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuchota maji usiku na wanawake kunaamsha hisia za ngono?

    Upande wenye mwanga zaidi ndio inakua tinted, yeye kazima taa ndani anaona nje kwasababu ya taa za njee
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Bora anipige kwa 'dyudyu' kuliko ngumi

    Wanataka mwanaume wanao chamba huyu kama mashoga
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Bora anipige kwa 'dyudyu' kuliko ngumi

    Ufeli mtihani na wataka cheti cha ufaulu[emoji124]‍♂
Back
Top Bottom