Naomba kujuzwa umuhimu wa importation documents!

nsimba9

Member
Jun 4, 2020
17
45
Wasalam wandugu, nataka kununua gari kwa mtu ana kadi OG ila hana importation documents za hiyo gari. Nae kanunua kwa mtu bila hizo hati. Je, vitanizuia kua mmiliki halali wa hiyo gari?
 

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
8,893
2,000
Je vitanizuia kua mmiliki halali wa hiyo gari?
Hapana haitokuzuia kuwa mmiliki halari wa hiyo gari.

Ila cha kufanya, omba kwanza copy ya hiyo kadi OG, nenda kahakiki umiliki wa hiyo gari sehemu husika, Ukikuta umiliki ni sahihi, Endelea na taratibu za manunuzi kisha badili kadi ya gari iwe katika jina lako.

importation documents
Importation documents zingehitajika iwapo tu unauziwa gari ambayo
- Haijasajiriwa
- Haijalipiwa kodi stahiki au
 

Lyamber

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
10,408
2,000
Importation document hua muhimu pale unapotaka kujiridhisha je hizi KM zinazosoma kwenye dashboard ni zenyewe au wamezishusha?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom