share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,062
- 10,461
Kakojoe ulaleMzembe sana wa Kufikiri wewe bwana, kuna sehemu amewahi kujitambulisha kama waziri?
Anapiga kampeni na ANARUHUSIWA KISHERIA KUFANYA HIVYO kwasababu
1. Yupo kwenye Orodha ya Watu 50 ambao wana jukumu la kumnadi Mgombea URais, Na sheria iko wazi kwamba Mgombea URais atakuwa na Timu ya watu wasiozidi 50 kumsaidia kupiga kampeni kokote nchini.
2. Mnapopigwa mweleka ni hapa, Hatumii cheo mnachomuita. Yeye ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM.
Mambo mepesi tu, mnahangaikaaa kama kuku anaetaka kutaga. Wacheni porojo