Recent content by Nsikine

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tegeta: Wanajeshi wanapiga raia baada ya mwenzao kushambuliwa na wananchi

    Kuchukua hatua mkononi wakati mwingine ni sahihi, mbona yeye alichukua uamuzi wa kumkanyaga bila kutoa taarifa kwa mwenye mke au Polisi.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa nchi waliopitia malezi ya "kiroho" Uislam na Ukristo

    Wakristo wana roho mbaya sana, lakini mbona Yesu wanaemfuata alikuwa poa sana !
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nikki wa Pili ashambuliwa baada ya kuwalaumu CNN na BBC kwa kumuonesha Tundu Lissu

    Mimi mpaka sasa hivi sijatia chochote tumboni, duuuh, huu nadhani ni mwaka wangu kupata vidomda vya tumbo kwa njaa.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Polisi, ikitokea nimeokota kifaa cha kiaskari au bunduki nifanyeje ili nisihusishwe nacho?

    Tatizo kubwa ni pale utakapo ambiwa kuisaidia Polisi.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuaga maiti ni ya hatari sana

    Hata mtume Muhammad waumini wake walimuaga kabla ya kumzika, sasa ubaya uko wapi? Kama huwezi kaa pembeni.
  6. N

    JamiiForums Tanzania DAR: Rais Magufuli atembelea Meli ya Jeshi la China. Amsifia RC Makonda, awataka Viongozi wengine wajifunze kwake!

    Raisi nakuomba waambie wachina wapeleke hiyo meli Tabora, maana kuna wagonjwa kibao
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rwanda imesema iko tayari kuchukua wahamiaji 30,000 waliopo Libya wakitaka kwenda Ulaya

    Ulaya itabaki kuwa Ulaya 2,Muulize Dk Slaa kwanini hakukimbilia Rwanda au zimbabwe?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje niwe Maarufu kama Dkt. Shika?

    Mungu anafanya kila jambo kwa wakati wake, usiwe na haraka siku yako ikifika utamzidi hata Dk Shika
  9. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA nzito zaidi ya CCM

    Lakini Nyalandu ni tofauti maonana ameuacha ubunge aliokuwa nao.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe tulikuambia huyu Lowassa huyu, wewe ukatuhadaa kuwa umebadili gia angani

    Kagame B atawatesa sana, lakini kila anaehama CDM mwisho wake katika siasa umefika mwisho, muulizeni Nassor Msabah aliekuwa CUF Z'bar yuko hali gani mpaka hivi sasa.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kuhama kwa Patrobas kuwafungue Macho WanaCHADEMA watiifu

    Unatukaribisha hata Wale tuliobomolewa nyumba zetu?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kama uenyekiti ndio hivi, wakionja urais watafia Ikulu

    Naamini hata CCM wakitenganisha hizo kofia mbili itakuwa ni hivyo hivyo, kitendo cha Chadema kuwa na mwenyekiti ambae si mgombea uraisi hiyo ni demokrasia ya kweli,hata mwenyekiti akikaa miaka mingi haina shida.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kampeni za udiwani za ccm zimedorora , ndio maana habari zake zinafichwa .

    CCM wanapita nyumba kwa nyumba usiku, Chadema wawe makini kwa hilo.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa Pekee Mjumbe Wa Kamati Kuu? Nyalandu Naye Kuwa? Vigezo Ni Nini? Mkwanja?

    Muulizeni Salumu Msabaha alipotoka CUF kwenda ccm alipewa cheo gani,pia mzungumzieni Wasirra na Kabouru piano.
Back
Top Bottom