Mkuu kiukweli tukitaka kukosoa chama kwa kuangalia weakness za individuals ambao it happened to viongozi; Nahis hapo ndipo tunapojosea kwa sababu kuna watu wachache sana au hawapo kabisa ambao kweli tunaweza.sema ni waadilifu.
Na hii si tu katika Chadema alikini hata ktk mazingira mengine ya...
Guys mmi nimenunua TING HD pale Kibo Tegeta kwenye supermarket ya TSN mwez December 2013.
Niliponunua waliniambia ntakua nalipia TZS 8000 kwa mwezi kuanzia January mwaka huu; so kwa mwezi December ni kweli nilienjoy EPL matches ingawa sio zote pamoja shows nyingine kwenye TV channels nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.