kilolambwani
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 395
- 75
Waondoke tumesha wachoka, serikali legelege hii haina maana kwetu tena.
afukuze wote labda atuachie
AGGREY MWANRY
MEMBE
TIBAIJUKA
NAHODHA
magufuli
HATMA ya mawaziri watano wanaotuhumiwa kwa ubadhirifu wa mali ya umma sasa iko mikononi mwa Rais Jakaya Kikwete, kufuatia hatua ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi kutaka watendaji hao wajiuzulu. Habari za kuaminika kutoka ndani ya kikao cha wabunge wa CCM kilichofanyika jana mchana mjini hapa zimesema kuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameamua kulifikisha suala hilo mikononi mwa Rais Kikwete kwa uamuzi zaidi.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya kikao hicho, kimewataja wabunge wanaotakiwa kujiuzulu kuwa ni pamoja na waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, Waziri wa Viwanda na Biashara, Cyril Chami, na Naibu wake, Lazaro Nyalandu, Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi),George Mkuchika, Waziri wa Uchukuzi, Omar Nundu na Waziri wa Afya, Dk. Haji Mponda.
CHANZO: TANZANIA DAIMA

alishindwa kuwatoa kina Mponda na Nkya leo hii awatoe hao sita!!!
Thubutuu,Usitegemee jipya chini ya serikali ya magamba. Mbona tangu mkuu wa nci alipoingia madarakani alituambia ana list ya majambazi na hakuwashughurikia na aliwaambia wajirekebishe, ile lists ya wauza unga, ile lists ya EPA, lists ya kwao ya CCM ya kujivua magambayaani troika(vijisenti,mamvi na rost amu)!!! Hapa ni kiinimacho tu ninachokiona.
umemsahau na Wasira aka tysonongozea hapo ngeleje,malima na kombani
chanzo ni tanzania daima,gazeti lenye malengo maalum.
ongozea hapo ngeleje,malima na kombani
Atalikuta kwenye soft copy