Recent content by nsasa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Gharama za ujenzi wa ghorofa (labour charge)

    Habari za leo wakuu Nina plan kujenga kagorofa total ocuppied space ya mjengo ni 238sq Nataman kujua makisio ya labour charge kama fundi, Natamani kujua makisio kwa floor 14*17 Naombeni msaada
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

    Watoe hata tar 32 maana mkiona wengine wanakomeshwa ninyi wa mshahara mnajionaga mko salama
  3. N

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kuhusu madai ya TRA kupandisha ushuru wa magari toka nje ya nchi

    Nilicho observe kiwango kimebaki kile kile ila kwa sabab calculations zina involve dola ndo maana imepanda Cif value n ile ile ila ukija kuzidosha na rate ya sasa ya dola lazma ukutane na gap la laki kadhaa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?

    Boss biashara ilikua ngumu toka januar to march Mm ofis yang nmejitahid kuweka mizigo mpiya ila waaap Jikaze hujalogwa wala nini Angalia kama factor nyingne ziko constant Pambana
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wakala wa uuzaji wa Jumla Cement aina ya SIMBA Arusha

    Bulk kama sikosei
  6. N

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    DAWASA Mimi ni mwananchi nakaa viwanja vya benki segerea maji ni ya shida mmeweka ratiba jumanne na jumatano ila maji hayatoki, mwanzo mlisema shida n presha kuna kifaa kimeharibika toka mwaka jana maji ni ya kusua sua! Mnatuumiza sana sisi wenye familia maji ya vidumu yanatuumiza sana. Basi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Hivi haya malalamiko hua yanafanyiwa kazi au ni kijiwe tu cha kahawa kisicho na ufumbuzi?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Dsm mdudu nusu kilo ni 6,500 bila ndizi wala ugali

    Tabata wanauza ef 24 kwa kilo na watu wanakula
  9. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta pasi nzuri ya kunyooshea nguo

    Ninayo philips hawa jamaa wako vzr pass ina miaka 12 na bado iko vzr
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji beli za mtumba Grade 1

    Weka namba ya simu utafutwe
  11. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Natafuta madalali au wale wa kufaulisha

    Ikwap na tsh ngap?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta IST iliyo kwenye hali nzuri

    Mil9 ipo DDL
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimerudi tena, nahitaji IST

    Ipo DDL mil 9
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ex girlfriend wangu kanenepa sana mpaka nimesikitika

    Akipinguza mwili unsmuoa au utendelea tu kupiga ovyo ovyo? Maana ucje ukawa umempa kazi ya kupungua af huna mpango wa kumwoa
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Bandari ya Bagamoyo: Aliyemshauri vibaya Rais Magufuli ni nani?

    Huo mkataba ukiwekwa wazi ndo tutajua kua ni worth au not? Saiv wengi wetu tunajadili cha kuambiwa na kusikia. Pewen mkataba msome kwanza Tunajadilije kitu tusichokijua?
Back
Top Bottom