Recent content by Nsarigoko

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Tuijadili Tanganyika

    Hawa siku zote hawawaoendi watanganyika. Viongozi kutoka Zanzibar ni wengi sana kwenye serikali na wanatibiwa bure kwa kodi zetu,leo hii wanaanza kubagua! Maana yake watanganyika walipo Zanzibar wafe kwa kukosa matibabu!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hili la msaada wa milioni 900 za DIPD kwa Chadema ni kashfa kubwa isiyofunikika

    Nadhani umesahau au ulikuwa hujazaliwa. Ccm ilipokea misaada kutoka vyama rafiki vya nchi za kijamaa. Swali je ni kosa la kisheria chadema kupokea misaada? Juzi tu ccm iliomba msaada wa kuvhamgiwa katika harakati zake za uchaguzi! Kama ni kosa kupokea msaada mbona hili la ccm hulisemi? Na kama...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Lema anapokea Tsh milioni 15 kila mwezi kwa kazi ya kuleta vurugu nchini

    Toa ushahidi, analipwa na nani, hizo pesa zinapitia benk gani
  4. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

    Hata kama ni kujikomba hii imezidi
  5. N

    JamiiForums Tanzania I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

    Na wala hatakuaa wa kwanza kufa pasipo hatia. Wapo wengi tofauti ni moja tu yeye atapatikana na hatia feki wengine wanauliwa tu wakiwa kwenye magari, majumbani n.k
  6. N

    JamiiForums Tanzania Watu wa Gaza wasema hawawezi kuhama na hawana pa kwenda palipo salama.Wanasubiri wapigwe nyuklia na Israel

    Kama waneshapewa onyo,na kutakiwa kuondoka enoe la mapigano, wakifa damu yao itakuwa juu yao wenyewe wala Idf haidaiwi
  7. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia aahidi kununua matrekta milioni 10 akiingia madarakani kwa awamu ya pili

    Dada yangu,muogope Mungu! Kwani kwa sasa haupo madarakani! Jiuzuru ili mameno ya ahadi yako yalete maana kwa wapiga kura
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais wa Marekani Donald Trump amefariki?

    Hao huko siyo huku kwenu, anaugua mafua tu wanasema ,alipatwa na korona tu asubuhi matangazo itakuwa kifo!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Gaza City: Hamas wateka wanajeshi wanne wa Israel huku wakiwaua wengine 9 katika shambulizi la kushtukiza

    Hiyo ndiyo vita na matokeo yake na toka hayo,hakuna jipya
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hamas Yatishia kuwachinja Mateka Waisraeli huku wakiwaonyesha kwenye Kamera!!!!

    Kwani hao wakifa kwa ajili ya waisraeli wengi kuna shida? Swala ni hamas iindolewe Gaza hata ikiwa gharama yake ni uhai wa hao mateka
  11. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina afika INEC kurejesha fomu ya Urais ila ameishia Getini

    Pesa zake watamrudishia? Maana kuchukua pesa ya mtu ambaye hana sifa ni kumharalisha au ni wizi huku ukijua unamuibia mtu kwa kutumia sheria
  12. N

    JamiiForums Tanzania Alichosema Putin kuhusu Afrika

    Mbona hukumsaidia Asad! Umeamua kuwatukana waafrika kwa kumsifia muafrika,pumbafu sana wewe.
  13. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM ipende isipende, jimbo la Tarime Mjini linaenda upinzani

    Kwa tume ipi! Hilo la hilo jimbo kwenda upinzani ni mpango mkakati
Back
Top Bottom