Recent content by Nsandamila

  1. N

    JamiiForums Tanzania Panga top 5 yako ya maji ya kunywa ya chupa

    Pamoja sana mkuu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wenye king'amuzi cha azam tujiandae kisaikolojia?

    Siyo kweli
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ikulu yakanusha taarifa kuhusu Rais Dkt. Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii

    Sidhani km hii ni namna ya kukwepa kisu, yule jamaa atatumbua tu km alikua ameshapanga kufanya hvyo kwakua sababu ya kumtumbua bado ingalipo na wala haiwez kubatilika eti kwa kuwa hii barua imetoka kabla kuwa official...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ijue Mikoa ambayo 90% ya Nyumba zake za Kulala Wageni zina Kunguni,Panya na Inzi wengi

    Bro kila mkoa hao viumbe wapo asee, namna ya kuwakwepa ni kutafuta loji au gesti house standard, unaenda kulala loji za vichochoroni na za bei chee afu ushangae hyo kitu? Pole asee...alafu angalia unaweza kuwaleta hata nyumbani kwako wakiingia ktk baadh ya nguo zako, wanasafiri kwa namna hyo...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Usimvue nguo mume wako

    Ndoa zetu siku hizi wanandoa wanavuana sana tu nguo...wake kwa waume...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Na nyie mkiiona sample hamtoi pesa mnafanya maboresho kwenye sample alafu mnaingia mitini...it's not fair mkuu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete analima lakini Graduates kutwa na bahasha za khaki kutafuta Sehemu za Kujitolea

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kila wakipanga kuniteka wanakuta mti wa mrumba au Bwawa la karosho au ziwa Tanganyika

    Hapana, labda kama unataka ubishi tu (naweza kukukubalia ), ktk kiarabu na kituruki hyo kitu inakaa kushoto na wenye lugha yao wanaelewa tu na dunia uliyoitaja pia inaelewa...na nakuhakikishia pia ktk Kiswahili chetu pia inakua hvyo...lakini kwasababu tu hujawah kuona hvyo ndo inakupa ukakasi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kila wakipanga kuniteka wanakuta mti wa mrumba au Bwawa la karosho au ziwa Tanganyika

    Ubishi sio asili yangu lakin kama unadhan hvyo ni sawa...nimeleta ubishi usio na maana
  11. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kila wakipanga kuniteka wanakuta mti wa mrumba au Bwawa la karosho au ziwa Tanganyika

    Hapa angalau naanza kukuelewa kuliko kuamini maneno ya zito kuwa anatumia nguvu isiyoonekana kujilinda
  12. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kila wakipanga kuniteka wanakuta mti wa mrumba au Bwawa la karosho au ziwa Tanganyika

    Kaandika kwa Kiswahili, hyo unayotaka wewe ni ya kizungu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kila wakipanga kuniteka wanakuta mti wa mrumba au Bwawa la karosho au ziwa Tanganyika

    Tatizo tunataka kuamini kila wanachokisema wanasiasa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kila wakipanga kuniteka wanakuta mti wa mrumba au Bwawa la karosho au ziwa Tanganyika

    Na inawezekana kuwa ni janja ya nyani tu ya kuwatia khofu maadui zake pengine hakuna lolote...usiwaamini sana wanasiasa
Back
Top Bottom