Recent content by Nsaji wa Lila

  1. Nsaji wa Lila

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chelsea imeondoka na Roman Abromovich 😔
  2. Nsaji wa Lila

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ntakuwepo mimi pia. Karibu Pm tuyajenge
  3. Nsaji wa Lila

    Umebahatika kukanyaga ardhi za mikoa mingapi hapa Tanzania?

    Km ndio kwa staili hiyo basi nimefika mikoa yote. Maana mie hadi nifike makao makuu ya mkoa ndio nahesabu km nimefika
  4. Nsaji wa Lila

    Umebahatika kukanyaga ardhi za mikoa mingapi hapa Tanzania?

    Nimebakiza mikoa sita tu ambayo sijafika. Kagera, Mtwara, Lindi(mjini, kwan baadhi ya wilaya zake nimefika), Ruvuma Katavi Na Rukwa. Panapo maajaliwa 2025 ntaimaliza yote. Maana hobby yangu ni kusafiri
  5. Nsaji wa Lila

    Je, Dkt. Mpango ndiye Rais ajaye?

    Kama chadema hawana mpango wa kushiriki uchaguzi 2025 km hakuna tume huru ya uchaguzi, ina maana 2025 CCM itendelea tena kutawala. Tuombe CHADEMA wakubali kushiriki japo kushinda nafasi ya urais kwa tume hii sidhani, kwenye ubunge wanaweza kupatapata.
  6. Nsaji wa Lila

    Mtanzania kama hujawahi kufika South Africa, Europe au USA wewe ni mshamba tu

    Mkuu kwann umeitaja Nzega??[emoji2] Tabora imekaa kushoto sana ya nzega. Watu wa nzega kuliko kwenda tabora mjini wanaona bora waende Mwanza. Kuhusu kusafiri umesema kweli. Kuna watu hadi wanazeeka hajasafiri hata mikoa mitano ya Tz. Sasa kwenda nje ya nchi ndio hata hawajawaza kabisa...
  7. Nsaji wa Lila

    Rais Samia afanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa

    Tabora hiyo na huyo mtu jina la kati ni Robert [emoji1][emoji1] code imefunguka
  8. Nsaji wa Lila

    Tetesi: Kigwangalla kuwa Waziri mpya wa Afya, Dr. Gwajima kwenda Jinsia, Wanawake, Wazee na Watoto!

    Kigwanomics ni mkimbu. Kikabila kimoja kidogo kipo mpakani mwa singida na tabora. ( wanyamwezi mixer wasingida) mama yake ni mnyamwezi msukuma
  9. Nsaji wa Lila

    Kongwa Beef kutoka NARCO sasa yaingia ofisini na nyumbani kwako

    Huduma za kusambaza nyama bado zinatolewa??
  10. Nsaji wa Lila

    RAI: Vijana mnaoanza maisha msianze kujenga nyumba, ni hatari sana

    Au tuseme. Hakikisha unajipanga. Ili ukifa usiache mzigo kwa familia. Bali uache neema. Kufa ukiwa tajiri.
  11. Nsaji wa Lila

    Jinsi mwanamke anayejiuza alivyogeuka kuwa wife material

    Hiyo stori ina funza sana. Hata mimi moja ya jamaa yangu alinasa kwa kahaba. Naogopa kusema malaya maana ni shemeji yangu sasa [emoji1787] Haya mambo aisee yanatokeaga sana tu. Makahaba baadhi wanafanya ukahaba sio kwa kupenda bali ni kutokana na changamoto za kimaisha. Wengine hawana tumaini...
  12. Nsaji wa Lila

    Nawezaje kupata apartment za bei rahisi Dar?

    Njoo pm nikutumie namba ya dalali wa makongo mmoja anaitwa bosco
  13. Nsaji wa Lila

    Nawezaje kupata apartment za bei rahisi Dar?

    Makongo juu zipo ila sio full furnished.
Back
Top Bottom