Kongwa Beef kutoka NARCO sasa yaingia ofisini na nyumbani kwako

Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Ltd imeanza utaratibu wa kuwasambazia wateja wake kuanzia maofisi hadi majumbani bidhaa mbalimbali za Kongwa Beef, Nyama Yenye Ubora wa Kimataifa, kutoka kwenye ranchi zake 10 ambazo zipo karibu kila pande ya nchi.Kongwa beef ni nyama organic yenye utamu asilia na ladha maridhawa. Ina ulaini wa kuvutia na mtawanyiko mzuri wa mafuta.Ukinunua nyama Kongwa Beef si-tu kwamba umepata nyama safi, salama, asilia na yenye ubora wa Ki-mataifa, lakini pia umechangia pato la taifa lako na ustawi wa nchi yetu.

Hapa nimeambatanisha na bei za baadhi ya bidhaa muhimu za Kongwa Beef

Bidhaa zetu Bei 1 Kg / (TSh)
Jembe (Blade) 6,500.00
Kongwa Beef (Kongwa Stew) Nyama Mchanganyiko 6,000.00
Kongwa Beef Steak 7,500.00
Beef Fillet 8,500.00
0x-Liver 7,500.00
0x-Tripe (Utumbo) 3,000.00
Ox-Tail (Mkia) 4,500.00
Ox-Head (Kichwa) 11,000.00
0x-Trotter (Kongoro) 1,500.00
Ox-Lungs (Pupu) 3,000.00

Tuko online tunasubiri kupokea email na simu yako.

Karibuni
=================================
Customer Service Desk
Kongwa Beef
National Ranching Company Ltd (NARCO)
Mavuno House, Azikiwe street
P.O. Box 9113
Dar Es Salaam
United Republic of Tanzania
Tel. +255 22 211 0393
+255 22 211 1956
Fax +255 22 211 1956
Mob. +255 766 123911
+255 655 123911
Email: customerservice@narco.co.tz
Skype: customerservice.narco
Web: www.narco.co.tz
==============================

For Quality & Affordable Beef
==============================

Mbona website yenu ipo "forbidden"?
 
Hizo beef ni zile zinazokua packed au ?ebu nieleweshe vizuri maana Naona sijaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom