Mimi nashangaa Sana vitu vizuri kama hivi muamko unakuwa mdogo, sehemu nyingi wanazosema wanauza kahawa nimejaribu Sana zile siyo kahawa halisi, Kwa mtu anayefahamu hata Kwa harufu tu anagundua kuwa zile siyo kahawa Bali ni kitu kingine tofauti, lakini bado tunayo nafasi ya kubadili mtizamo ...
Kuna wakati nimewahi kufikiria kufanya hii kitu lakini bado nitafanya Tu, it's just a matter of time.
Mkuu kama unaweza unaweza kufungua pia Coffee Pub, kama wanavyokuwa na Alcohol Pub basi wewe unakuwa na Pub yako ya Coffee, wateja wapo wengi Tu sema ni vile hawajapata maeneo yao ya kukaa na...
Habari wakuu..
Awali ya yote nimshukuru Mungu Kwa wakati huu aliotujalia na vilevile nitoe pole kwetu sote Watanganyika kwa madhila yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, kila mmoja ameathirika kwa namna moja ama nyingine lakini zaidi kwa familia zilizopoteza wapendwa wao, Mungu...

Naona watu mnazungumza bila kuwa na taarifa za kutosha kuhusiana na kifo cha daktari, na wengi mnazungumza kwa hisia.
Kwa kifupi iko hivi ,
Mzazi wake Dr Magreth pengine ndiyo chanzo cha haya yote.
Magreth alishampeleka mchumba wake nyumbani kwa mzee wake akamkataa na alimgomea mara kadhaa...
Naona watu mnazungumza bila kuwa na taarifa za kutosha kuhusiana na kifo cha daktari, na wengi mnazungumza kwa hisia.
Kwa kifupi iko hivi, Mzazi wake Dkt. Magreth pengine ndiyo chanzo cha haya yote.
Magreth alishampeleka mchumba wake nyumbani kwa mzee wake akamkataa na alimgomea mara...
Habari ya wakati huu wadau.
Nahitaji nyumba ya kupanga Kigamboni , haswa eneo la Mjimwema au Gezaulole .
Sifa : Nyumba iwe na master bedroom, Sebule na Jiko, isiwe mbali na barabara, Umeme na Maji viwepo.
Kwa mwenye kuweza kunifanikishia hitaji hilo tafadhali naomba tuwasiliane.
Natanguliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.