Recent content by nowsasa

  1. nowsasa

    Kama ndoa yako au mahusiano yenu yanakaribia kuvunjika dawa hii hapa

    Siyo ujinga.. Kaongea ukweli mtupuuuu.. Yuko smart sana kwa hili.. Msikilize kwa hili ndoa yako itadumu
  2. nowsasa

    Hivi wairaq wapoje kitabia?

    Omoo maana yake nini?
  3. nowsasa

    Huyu binti Kanishangaza sana! Sijamwelewa kabisa

    Tangawizi na iriki zinahusiana vipi na hili janga la huyu mwenzetu?
  4. nowsasa

    Anasema nimuhudumie kila mwezi

    Mitandao pendwa gharama zake kubwaaa lakini salama!
  5. nowsasa

    Kijana badilika acha huu ujinga mara moja

    Sasa au anaowaona washamba wa matumizi wakiamua kuacha matumizi sijui hayo magunia yake ya mahindi atayauza wapi! Fikra za kijinga sana hizi..
  6. nowsasa

    Usajili wa Drone ni dola 100 (Tshs 230,000) na kwa mkoa mmoja ukihama mkoa (location) unasajili upya tena

    Vibari ndiyo madudu gani?! Umeandika sanaaa lakini zote pumba!
  7. nowsasa

    Usajili wa Drone ni dola 100 (Tshs 230,000) na kwa mkoa mmoja ukihama mkoa (location) unasajili upya tena

    Mshamba yule.. Nahisi na yeye ni mhutu, hata kuandika kiswahili hajui!
  8. nowsasa

    Usajili wa Drone ni dola 100 (Tshs 230,000) na kwa mkoa mmoja ukihama mkoa (location) unasajili upya tena

    Kwa hiyo ikilipiwa hiyo dola 100 haitaweza kutumika kama silaha?!! Acha ushamba wa kiwango SGR! Ushamba mkubwa wa karne ya 13!
  9. nowsasa

    Wabunge wa CCM acheni kutudanganya

    Yaani alivyokuwa limbukeni! Bora hata angeendesha swala au phenix angalau! Na huko mkofia ndiyo kabisa karikoroga! Sijui waendesha baiskeli wangapi wa hapo mahala Wanavaa hiyo mikofia.
  10. nowsasa

    Uchumi wa Kati: Waziri Mkuu akisalimiana na bibi Asumin Milanzi huko Ruangwa

    Omba Omba yule na wengine kama yeye uwa na matatizo ya Kula madawa ya kulevya.. Kwa kifupi wengi wao mateja.. Omba Omba wa mtoni usomlinganishe na kwetu. Na mpaka sehemu za kuishi za bure zipo ( zinaitwa shelters). Ila wa nakuwa hawataki kukaa kule kwa sababu ya masharti magumu, mf mida ya Kula...
  11. nowsasa

    Uchumi wa Kati: Waziri Mkuu akisalimiana na bibi Asumin Milanzi huko Ruangwa

    Huyu kwa taarifa yako kila mwisho wa mwezi naenda kuchukua hela ya bure serekalini!
  12. nowsasa

    Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Kaongea mbapu tupuu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. nowsasa

    Majanga: Miradi ya Magufuli yote imekwama

    Hali ya kisiasa DRC siyo rafiki tena kwa kagame, hivi haujiulizi hizo pesa zote zinazokuaanywa kwa Kodi nk nk zinakwenda wapi? Hela mtaani hakuna! Baba analisha nyumba yake na nyumba ya jirani! Naomba niishie hapa... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom