Hahahahah unapanga serikali kisa dimond kaguswa au unaajipya kama ulijuwa hafai kwani usiseme. Wakat umefungwa hizo nyimbo unasema leo sababu dimond wew ndio rais asikilize utumbo wako wew muendeshe rais wa wasafi kamshauri sio mpiganaji wetu JPM huwa hapelekwi na ushaur wa wanywa viroba...
Kwahiyo ktika nyimbo zilizo fungiwa ipo ya mond tu au ndie yeye asiguswe kwenda nchi za nje hajaenda kwa sababu aitangaze tanzania anatafuta hela sasa kama kaonewa wazir alishasema zipo taratibu za kufata sema hapa bongo kuna watu wanajifanya wao king..mwambie arudie verse ktk wimbo wao "...
Hilo ndio tatizo la vijana wengi kuwa viazi yaan utamkuta boy anamiliki simu bei kali tu lakin anakuomba buku ya vocha ila upande mwengine vijana wengi wanagight ila kinavhopatikana kuenda kununua pqmba na ku spend na mtoto mzuuuuliii..
Naona watz wamekosa imani na polisi lakini polisi wengi ni ndugu zenu mnaoishi nao na polis hawana tatizo kwa watu ambao wanatii sheria ukiwa muhalifu lazima uwachukie polis..kuna wilaya wanajenga vituo vya polis ili waweze kuish kwa amani kaz ya polis ni kuhakikisha amani na utulivu...
Huwez kupata choo kamahujakula chakula na kushiba kabisa ndio utabata choo...kwenda haja kubwa ni laZzima kama utakula kushiba ila wengi wenu huwa mnaishia kula vyakula vya ajabu ges nyingi hakuna msosi wenye uzito ..kula wali ugali ..ndiz acha kula. Chips
Kila kitu kina utaratibu mheshimiwa mwigulu anahusikaje au tujiulize mkuu simon sirro anahusikaje. Kila kitu kinakuwa kina chain of command hata hao polis huwa hawafyatui risasi bila kupewa maelekezo na kuna hatua za kuzima fujo na kuna stage ya kutumia risasi ya moto unaongea kwa...
Kaza kijemedar ila ni heri kuwatia mikononi ili wakaanzishe life yao maana itakuwa ndio mchezo wao muda mrefu so inawezekana hata watoto sio wako so cha msingi wakamate then uwatimue wote alafu jenga nchi uchumi wa viwanda ukuwe watoto wetu wale faida za bava zao
Hapa ameongea jambo la msingi kwa taifa maana bongo fleva na bongo movi wengine hufanya hiz kaz kutafuta soko lao binafsi..ndio mana hawauzi kaz zao ila wanquza kila wanacholenga wanakijuwa. Huu umalaya uko wa aina nyingi nafikiria kuna watu waraathirika kibiashara lakin wawe wavumilivy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.