Je mlipofungua OLAS mmechagua link ya 'First time applicants au Registered users'?
Ukishalipa kw m-pesa unachagua first time applicant kuna form itakuja ya kujiregister, hapo utaweza kucreate password then una-submitt, halafu utalog in kwa kufuata maelekezo.
Mimi nilipiga simu bodi kuuliza maana nina wadogo zangu wamemaliza mwaka huu, wakaniambia inatakiwa waombe km wana mpango wa kusoma chuo mwaka huu. Deadline tarehe 30 june na wamesema wao hawana session nyingine y kuapply hii ikishafungwa.
Lipa 30,000 kwa m-pesa then ingia website ya bodi Higher Education Students' Loans Board utaona sehemu ya kuapply loan. Tunza reference number ya m-pesa maana utaijaza unapo-apply
Habari zenu wadau
Nina mdogo wangu alikua anaapply mkopo Online (OLAS), alifanikiwa kuweka password kama inavyotakiwa. Sasa kila akitaka kulog in system inamgomea na kuleta ujumbe kwamba details anazoingiza hazifanan na alizoweka mwanzo wakati ni hizo hizo hakuna kilichobadilika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.