Nakupongeza kwa maelezo ya kina n yasiyokua na shaka kuhusu ukwel wake..taasisi zilizo vizur hazipitii utumish mchakato wake wa ajira hivyo kutoa room ya kubebana..mamlaka husika zichukue hatua..ili watoto wa wakulima na maskin wapate kula cake ya inchi yao..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv angekua ndugu yako ungecoment ulivyo comment. Unaamin mtu anaweza mnyang'anya askari bunduki ndani ya kituo cha police??..kuwa na utu ndugu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikate tamaa..amin unachofanya vijana wengi wamefanikiwa bila kushikwa mkono. Muda wako tu haujafika..alafu unatenda dhambi kutegemea utashikwa mkono au kudhan wote wanashikwa mkono..
Weka juhudi muombe Mungu..mambo yatanyooka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.