Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Ndugu zangu wana JF ule msemo wa kuwa uyaoneee nimeshaanza kuulewaa kiukweli ndugu zangu katika haya maisha tulionayo nimezunguka sana katika kuyatafuta maisha ya mafanikio kupitia elimu,biashara,kazi na mambo mengine mengi ili nitoke kimaisha lakini nilichokuja kugundua maisha haya kama huna wa kukushika mkono kutoka kimaisha ni ngumu kinoma
sio siri ndugu zangu kama huna ndugu au mtu kwenye system wa kukushika mkono haya maisha kutoboa ni ngumu kwa sababu zifuatazooo..........
ukiangalia vijana waliofanikiwa katika biashara siku hizi ukifatilia historia yake unakuta mtaji alipewa na ndugu zake wenye uwezo, ukiangalia vijana wenye kazi nzuli ukifatilia historia yao unakuta issue ya kazi kasaidiwa na ndugu na jamaa wa karibu, ukiangalia vijana ambao wana vyeo vikubwa unakuta mpka kafika palee kupitia jina la mtu flani ndo kafika paleee......
sio siri inauma sana ila hakuna la kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app