Recent content by notifeki

  1. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Kapauka?😳
  2. N

    JamiiForums Tanzania Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Watu wanaagizaje magari kwenye picha used? Yaani niliachaga huo ujinga gari zipo nyingi sana showroom naenda na begi langu nakagua gari bila fundi nanunua
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kuishi naye, mtu mzima anatakiwa

    Matumizi utatoa wewe au?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

    Anzisha kanisa lako kama mcha mungu utawala mpaka basi kama gwajiboi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

    Wewe unataka mahusiano gani? Hebu nenda baa kalewe tongoza muhudumu uanze nae mahusiano nazani mahusiano mengine yatafuata
  6. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Corona si chochote, kama nimeweza kufufua misukule ndio nitaogopa hako kakorona?

    Lwakatare alikua kama wewe ujue
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ukomo wa mtoto kubemendwa ni miaka mingapi?

    Watu mnatiana hata majalalani, iko siku mtatiana kwenye mashimo ya mavi
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

    Nimekula bloku
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

    Kwingine ambako hakuna hela?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

    Kwaiyo sis financial advisors tufe njaa?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo hili linaoitwa tamasha la wasanii hapa ni la CCM?

    Sikujuwa kwamba tamasha la sanaa la mwalimu nyerere ni la ccm
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo hili linaoitwa tamasha la wasanii hapa ni la CCM?

    Yaani hapo meza kuu wamekaa serikali na chama tu wasanii wenyewe wako kajamba nani uko nyuma. Meza kuu yuko Majaliwa, mwakyembe, Ndugai, katibu mkuu wa ccm.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo hili linaoitwa tamasha la wasanii hapa ni la CCM?

    Nimekaa hapa TBC1 naona ujio wa waziri mkuu na wasanii wa Tanzania na kuna salamu za CCM sioni dalili ya wapinzani. Ndio tuseme hili tamasha ni la kimkakati wa chama kuelekea uchaguzi?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sisi Watanzania tunapenda kutembea taratibu kama konokono?

    Pilika za uchumi ndo zinachangia mtu kwenda kasi au slow. Hata wewe mwenyewe ukiwa kariakoo kama dili zako zimebuma utarudi ukiwa mpole sana huna haraka na mwazo chungu mzima. Ila sasa ikitokea dili zako zimelipa na unatakiwa urepoti maeneo mawili matatu tofauti mjini utaona kama mda hautoshi...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sisi Watanzania tunapenda kutembea taratibu kama konokono?

    Huku joto ukikimbia ni utatoka majasho kwaiyo inabidi utulize spidi ili usilowe jasho. Ulaya baridi kwaiyo inabidi ukimbie kimbie ili kupasha joto misuli vinginevyo ukisimama mda mrefu sehemu moja utajikuta umeshaganda kama barafu.
Back
Top Bottom