Hivi kwanini sisi Watanzania tunapenda kutembea taratibu kama konokono?

Wakuu,

Nimetembelea nchi kadhaa za Ulaya na Asia, kule watu wanatembea haraka haraka sana kuwahi kwenye mishe zao, lakini huku kwetu watu wanatembea taratibu kama konokono.

Tatizo ni nini?
Huku joto ukikimbia ni utatoka majasho kwaiyo inabidi utulize spidi ili usilowe jasho. Ulaya baridi kwaiyo inabidi ukimbie kimbie ili kupasha joto misuli vinginevyo ukisimama mda mrefu sehemu moja utajikuta umeshaganda kama barafu.
 
Wakuu,

Nimetembelea nchi kadhaa za Ulaya na Asia, kule watu wanatembea haraka haraka sana kuwahi kwenye mishe zao, lakini huku kwetu watu wanatembea taratibu kama konokono.

Tatizo ni nini?
Ni utamaduni na watu wanazoea tangu wakiwa wadogo. Na ukitaka kuona utembeaji polepole uliokithiri nenda sehemu kama hospital uone manesi wanapopeleka kiti kutoka point A to B. Au ofisi za serikali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom