Itafika nyakati kila atakae vaa nguo yoyote ya KAKI nae atafunguliwa mashitaka!!
Amakweli kuongoza ni kipaji na wote wasio na kipawa hicho huishia kufanya mambo kama haya..!
Siku hizi kila jambo ni la CHADEMA,maana hata bomoabomoa vibanda jijini Dar nalo watasema CDM,haahaahaahaa!! Sio ajabu mtu akipigwa na mkeo kwa ulevi nae atasema mkeo ni CDM,kwikwikwiii!!!
Inaonekana umetumwa kuja kuwa bembeleza walimu,haahaahaa!! Too late aisee,maana hawa jamaa walisha hasi ccm mpaka serikali,wamebaki wale wenye vyeti vya kubumba tu ambao wanategemea huruma ya ccm,rudisha report kwa hao waliokutuma kwamba huku hali ni mbaya zaidi na at last umeambulia matusi na...
NAZANI UMEVURUGWA WEWE!!
Hiyo shibe unayopata kupitia ccm ipo siku itatoweka na ndipo utakapo jua kwamba ujinga unao utetea hauna mana!
Shame on you imbecile!!
Duuu!! Umenikumbusha kitu hapa,maana kuna siku afisa wa jeshi(jwtz) alishawahi tamka maneno mazito sikutegemea,haya ndio yalikua maneno yake"hii nchi haiwezi endelea mpaka watu wapigane ili hakili ikae sawa na watawala wajue kwamba watu wamechoka,bila hivi hawa watu wataendelea kunyonya...
Ingeshangaza kama tume ya uchaguzi isingesitisha mchakato huu,kama wameliona hilo at least wametenda haki japokua wenye dhamana na ufuatiliaji haki hiyo hatuna imani kama watasema yale yanayo stahili kusemwa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.