Recent content by Not Guilty

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kurudi kijijini kabisaaa, karibu na makaburi ya ukoo

    Hapo pangisha nyumba ya kibaha then pesa yake panga karibu na ofisi kucut cost . Sema nini mwamba unaroho ya uthubutu . Ungechengesha kidogo tu hiyo akili unafika mbali
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye Ndoa yangu nahisi ninasalitiwa. Mke kachomwa sindano ya uzazi wa mpango bila mimi kujua

    Kwa kifupi siku ambazo wewe unajinyima kumla ndio jamaa ameomba awe anapewa unyumba yeye, Hadi sasa mpaka ukahisi kua analiwa jua tu kuna asilimia za upendo zishahamia kwa jamaa . Ndio mana kamsikiliza na kuchoma sindano kwaajili yake ili akitaka saa yoyote anapewa ili hali wewe unahesabu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kujiuliza Msichana wenu wa kazi 'wa Miaka hiyo' yuko wapi?

    Ni mada nzuri . Ila kuna asilimia kubwa wanasema wameshatangulia mbele ya haki ,Daaah inasikitisha .pia niiipe heko familia ya mtoa mada na wengine ambao walimanage kukaa na dada wakazi muda mrefu zaidi ya mwaka nakuendelea . Wanaokaa na dada karne hii watanielewa hasa kukaa na dada hata miezi...
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkono wa kushoto umenipa msichana

    Imeisha hiyo .umeukwapua kizembe na kifara sana
  5. N

    JamiiForums Tanzania Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    Mwenye link tafadhali
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Experience toka kwa watu waliooa wanawake waliolelewa na mzazi mmoja

    Toa hizo mbinu ili watu wajifunze na wawafunze wengine wanaoelekea kupata shida kama ya mtoa mada hapo juu
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ukishaoa usipangiwe na maisha na ndugu zako kuwa na msimamo Jenga familia yako

    Stori inagusa sana hisia
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anamtesa sana mtoto wa marehemu dada yangu

    Ukimwita huyo mwanamke ajielezee hapo jamaa atasukumiwa makaso pamoja na mtoto mpaka ionekane jamaa anamakosa . Inahitaji maamuzi magumu yakiume yenye hekima ndani yake. Hawa viumbe hawa ni kamzozo
  9. N

    JamiiForums Tanzania Huyu Dogo naye rasmi kwa wajenzi huru!

    Tulia uandike vizuri mkuu.sio wote wanamjua huyo dogo, angalau ungetoa ufafanuzi kidogo. Mfano anaitwa nani, anafanya nini
  10. N

    JamiiForums Tanzania Je Bayer 04 Leverkusen kubeba ubingwa wa Bundesliga Leo?

    Ngapi huko sasa hivi
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu ana laini mpya

    Duuuuu Pole bro.
  12. N

    JamiiForums Tanzania FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

    Ngapi huko kwa mlioko live
  13. N

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

    Jamani msaada jinsi ya kususcribe uzi jamiiforum
  14. N

    JamiiForums Tanzania Bei za magari

    Kuhusu grade mbona hilo swali halijibiwi?
Back
Top Bottom