Recent content by northener

  1. N

    Natamani kuwa na pesa lakini sioni njia ya kuzipata

    mkuu naomba nijuze pm unaingiaje. samahani lakini
  2. N

    DED Tunduru aamua kufanya unyama

    Inavyoonekana hawa wakurugenzi wenye viburi Ummy anawalinda, Hata wa jiji la Tanga ni shida tena yuko ktk jimbo la waziri wa TAMISEMI lakini hagusiki, nafikiri hata huyo wa Tunduru naye kuna mkubwa anamlinda na kote ni ukanda wa waswahili sijui km tutapona na Magufuli hatunaye tena nani...
  3. N

    Mkurugenzi Tunduru aanza vitisho

    Angalia sura na pozi lake, anaonekana katili kweli. Huyu siyo ameiweka serikali ya mama mfukoni. Ila siamini liMkurugenzi tu la Halmashauri ya wilaya. Ila kuna mtu kule TAMISEMI atakuwa anampa kiburi siyo bure ndio maana hajali wala haogopi ukizingatia jiwe(JPM) hatunaye tena sijui km mama...
  4. N

    Mkurugenzi Tunduru aanza vitisho

    Kama mnavyoweza kukumbuka wanajamii forums kuna taarifa iliandikwa ktk jukwaa hili kuhusu Watumishi wa Halmashauri ya willaya ya Tunduru kuwanyanyasa walimu wapya. Kwamba, walimu waliokuwa na tofauti kidogo katika majina yao walilipishwa Shs 82,000/ kwa ushirikiano kati ya ofisi ya Utumishi na...
  5. N

    Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

    Ndiyo akili yako ilkoishia? Ni bora ungekaa kimya we zuzu
  6. N

    Kundi linalomtetea Mbowe lidhibitiwe na serikali

    kenge mamako aliyeacha kuvaa kondomu kuzuia mimba yako
  7. N

    Godbless Lema: Mbowe ametafutwa muda mrefu sana na kulikuwa na njama za kumuua

    Acha urongo, ametafutwa? kwani alijificha wapi! Mtuhumiwa alikuwepo nchini muda wote siyo wewe umekimbia nchi
  8. N

    Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

    Nyie Shura ya Maimamu tulieni fanyeni shughuli zenu kwa mujibu wa katiba yenu. Acheni serikali kupitia jeshi la polisi wafanye shughuli zao hakuna mtu anauawa ni sheria ndio itatumika. Rais aliapa kuilinda katiba na sheria zake zote. We unajuaje km kongamano la katiba ilikuwa geresha tu na kuna...
  9. N

    Mkurugenzi wa Mji wa Mbulu mwalimu huyu hatakuacha salama

    Mama Mkurugenzi bado ukiwa binti mdogo kuna vizee usipokuwa makini vitaondoa ndoto zako mapema. Kuna mwalimu moja wa shule ya msingi Ayamuhale kata ya Marang' anaitwa Sebastian Awe huwa haiingii darasani kazi yake miaka mingi ni kesi katika mahakama mbalimbali. Amekuwa akiwabambikia kesi...
  10. N

    Msaada Je kuna namna ya kufanya ili uweze kuona zile chanel za bure??

    kuiamini serikali hii sazingine ni km kusubiri kuku kukojoa. mm pamoja na kulipia Azam Tshs 15,000 sipati channel yoyote zaidi ya TBC1 na zao Azam. Hawa mabepari wanaiendesha serikali wanavyotaka
  11. N

    Wachaga na maendeleo-impressed

    wachaga mna sifa za kijinga km wakenya, vyuma vimekaza mnatafuta kiki mjulikane, ww ni mchaga pure hakuna msukuma mjinga aanze kusifia wapenda sifa za kijinga. umaskini ni mkali sana uchagani ndiyo maana hawakai kwako wanaishi km wakimbizi. wachaga wanapenda sana sifa tena za kijinga, akijenga...
  12. N

    Iwapi Bodi ya Mishahara ya sekta binafsi

    Sheria ya Taasisi za Kazi Na. 7, ya mwaka 2004 kama ilivyorekebishwa mwaka 2015, imeanzisha Bodi ya Mishahara ya sekta binafsi ambayo ina jukumu la kufanya utafiti kwa kuzingatia hali halisi ya gharama za maisha na masuala mengine ya kiuchumi na kupendekeza kiwango cha kima cha chini cha...
Back
Top Bottom