300/unit ni hasara kwa Tanesco. Mimi nashauri bei ya umeme iongezwe hadi sh. 1000 kwa tariff zote. Hakuna cha umeme wa Rea Wala wa Jiwe.
Ambaye hataki, ahamie Burundi.
Wanatupa ultimatum wao kama nani-"Who are they" ?
Hili ndiyo jibu la "serekale" yako kwa CMAG.
Kwanza "sisi ni serekale huru na hakuna mutu ya kututishia: Mabeooo?-weka geshi stendibai.
Sisi ni jiwe—tena jiwe kweri kweri".
Tukishusha bei ya umeme....pesa ya kununulia ma-Toyota LC 800 tutazipata wapi?
Nyie mmetusagia kunguni kwa wafadhili hadi wamekata Yale mabomba yetu ya hela ya Bure.
Badala ya wao kutupa hela, sisi ndiyo tunawapa. Si mmeona hivi majuzi tumewalipa BSG sijui BCG ya marekani $3,000,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.