Recent content by Nolelo Nobert

  1. N

    JamiiForums Tanzania Gratefulness

    Ni kweli kabisa mkuu..lakini naamini ni ujumbe unaoeleweka kwa walio wengi Asante sana.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Gratefulness

    ICYMI: The year that wasn't A famous writer was in his study room. He picked up his pen and started writing : **Last year, I had a surgery and my gall bladder was removed. I had to stay stuck to the bed due to this surgery for a long time. **The same year I reached the age of 60 years and had...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

    Well done mkuu..story inasisimua sana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nimejikuta tu nawapenda Magaidi na Genious Robbers

    Challenges is Mother of creativity,innovation and people embracing out of their comfort zone..
  5. N

    JamiiForums Tanzania Duu!

    Haya nyamazeni sasa! Ikiwa upo unaitikia "Jana" na "Leo" Mifwedha Mfukoni.. "Hayupoooooo! Mihela Waletini.. "Mtoooroo!" Mikwanja Mtaani "Hayupooo!" Mitonyo Yadili "Hayupoooo!" Minoti Benki "Kahamaaaa" Milioni 50 kijijini "hutumjuifiiii" Mpunga Maskani " Mtooorooo" Ukata bin Kukata...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

    True say brother.. Left handers wengi in watu tofauti sana...wana upako flani .. Proudly being a lefthander.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    It sound like there is point to note down.. Thanks brother for the information.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Struggle of life

    Hapo zamani kulikuwa na binti mmoja alikuwa anamlalamikia babake juu ya maisha magumu.Binafsi yeye hakujua ni siku gani atafanikiwa na alikuwa ameshakata tamaa katka kupambana na kuhangaika muda wote, kwa kuwa kila alipotatua changamoto moja nyingine kubwa zaidi inaibuka.Babake alikuwa mpishi...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hisia binafsi

    Ni jioni tulivu isiyokuwa na rapsha nyingi labda kwa kuwa ni mfungo Wa mwezi mtukufu Wa Ramadhan katika tafakari ya kawaida tu na kuwaza tu..labda naweza hata kukwaza wengine lakini nitaomba nisamehewe bure, Nafikiria kawaida sana juu ya ubunifu Wa kubuni mambo mbalimbali yenye kutatua...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Cute sayings and proverbs

    Ha ha !
  11. N

    JamiiForums Tanzania The 30 Laws of Life

    Maneno yenye nguvu ..Asante sana!
  12. N

    JamiiForums Tanzania The Story of an EAGLE

    Inspiring a lot...thank you!
  13. N

    JamiiForums Tanzania 3 Types of People That Will Never Succeed in Life

    Maneno mazito yenye funzo kubwa ndani yake..Ubarikiwe
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hisia za kimazingira

    Tafakari Huru: Katika tathmini yangu ya kimazingira,sisi kama watanzania, tunashuhudia majanga mengi sana ya kimazingira, nadhani kwa upofu tulionao bado hatujaona ni kitu cha kushitusha kutokana na madhara mengi yanayotokana na majanga hayo bali tunaona na kufikiri ni sababu ya nguvu za asili...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Video: Mama atoa machozi wakati akiongea na Rais Magufuli

    Well said..Sisi Watanzania tujitahidi kufikiri kidogo hata kama tunamitizamo tofauti...nchi inahitaji zaidi anayofanya Magufuri.. Direct intact to confront with an issue.. Ukisema usubiri kuimarisha watanzania wengi tutakufa..tuna urgent and important problems zinazohitaji urgent and immediate...
Back
Top Bottom