Achana na ipi bora, angalia ni chuo gani ni rahisi kwako kuishi ie gharama za maisha na kujifunza.
Chuo mpaka kikapewa idhibati ya kufundisha kozi, it means kinawezatoa product tarajiwa.
Siku hizi end product ya vyuo vikuu inabase zaidi kwenye uwezo wako wa kutafuta maarifa na wala sio jina...
Wadau, nawashukuru kwa maoni yenu. Niliyafanyia kazi, na jana fedha zangu 1mil + zilirudiswa kwenye a/c yangu ikiwa ni siku ya 15 tangu tatizo lilipotokea.
Kuna Mdau alishauri nichukue namba ya Bank officer atakayesikiliza kesi yangu then niwe nawasiliana naye hadi ufumbuzi utakapo patikana...
Furaha yake, jukumu lake. Tusibebeshane mizigo ya kale. Wanawake wapewe elimu yao, wajitambue.
Next time, uje na mada kama hii kuwaelimisha wanawake.
Binafsi sihangaiki na mwanamke ambaye yuko nyuma kwenye jambo lake yeye mwenyewe, namuona hajitambui na mzigo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.