Recent content by NoID

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nay wamitego arusha jiwe gizani auliza Unatuchezea sinema hadi wana?

    na mimi pia
  2. N

    JamiiForums Tanzania Lema: Watanzania wengi wanaandamana lakini hawaonekani sababu wanaandamana mioyoni, ipo siku

    its so sad kwa mtu mzima na assume umeelimika kuandika hivi, je unafikiria kizazi chako kitakulia kwenye mazingira ya namna gani kama tu wakat huu unaongea hiv!? Mzee angalia taifa unaloandalia wanaokuja, tusiandike ushabiiki. anaweza akawa mwanao ndio katoweka siku za mbeleni sidhan kama...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

    me nadhan hapo unautafakari kimapana coz hauamini jamaa kaimba alichokiimba. ila kumbuka kuna mstari kasema yeye ni mtoto wa wote,yan upande wa DAD yupo na upande wa wananchi yupo,kwenye situation kama hii msanii huwez kuwa hivo halafu ukaiambia jamii tena kwenye wimbo,kama yuko kote busara...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mungu tuepushie tusamehe kuna wengine hatujui tuyatendayo (VIDEO)

    l me sijaona uvunjifu wa amani zaidi ya raia kudai haki itendeke kwa kila raia. kama ilivyokuwa kwa waliofukuzwa kwa kufoji vyeti basi na wengine wawajibshwe sawasawa na hao, lakini swala la kutoa vyet limekuwa gumu, imekuwa rahisi kuvamia clouds na bunduki na mengine yanayotokea. me mpaka...
  5. N

    JamiiForums Tanzania RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

    hili sio swala la kisiasa, ni utekelezaji wa agizo la raisi au naye ni opposition!? kijana hautakiwi kuwa biased labda kama unafaidika na huo upande, be open minded.
  6. N

    JamiiForums Tanzania RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

    anawatafutia living certificate kwanza mtulie maana imeshakuwa tabu, anyway, ametoa jibu jepesi na la kisiasa kwenye swali la msingi, huko ndiko tulipofika ila pia tunasahau kuwa mtu anayeongea sana ni rahic kwa mtu mwerevu kutambua tabia yake na uelewa wake wa mambo, hasante kwa social...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Milton Mahanga: RC Makonda jisafishe na kashfa hii au jiuzulu

    darasa la nne alifeli akahamia mjin ili asome tution, duh!? nakumbuka mwaka wetu darasa la nne alifeli mmoja tu (mwaka 1997). kama hii taarifa ni ya kweli, basi acha tu tununue sembe hata 3000 kwa kilo.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Harmo Rapper: Hata kwa dau gani kamwe siwezi kujiunga na Wasafi

    hahaha
  9. N

    JamiiForums Tanzania Harmo Rapper: Hata kwa dau gani kamwe siwezi kujiunga na Wasafi

    umenifurahisha
  10. N

    JamiiForums Tanzania Do you know which type of sunglasses to wear according to your face and when!?

    hi JF members, if you like looking good in nice unique sunglasses please visit and follow our page bv90_sunglasses on instagram for killer shades. perfect to wear even at night, nice frame style, perfect lens which can not destroy your vision or lie. please check 'em out and press your order...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hii mistari kwenye nyimbo za hiphop haileti maana

    naomba nitoe opinion yangu hapa, kuna tofauti kati ya hip hop na rap. rap ndio inafanywa sana siku hiz, hapa tz msanii anayefanya hip hop ni fid q na hao tamaduni labd. pa mwana hip hop anatumia style ya rap kufikisha ujumbe ndio maana hata hao kina young killer wanajichanganya coz wanarap ila...
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimnunua kahaba nikamtambulisha nyumbani kwa wazazi baada ya kunilazimisha kuoa, utata ukatokea

    ngoja kwanza!!! ina maana hata manzi tuseme ya kuzugia hauna had upeleke mtu kama huyo home asee.
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshikwa na dafrao hii changamoto inanitafuna ndani kwa ndani

    and u say she is ur wife to be!!!!????? u don't even know ur responsibilities
Back
Top Bottom