Recent content by Nohonga

  1. N

    Tatizo lolote la PC/device

    Cc chief-mkwawa
  2. N

    Tatizo lolote la PC/device

    PC KUGOMA KUWAKA Pc yangu HP Elitebook 8460p ukibonyeza power button haiwaki kabisa lakini inaonesha kupokea umeme nikiconnect charger. Nikitoa battery na kulirudisha ndipo inawaka yenyewe bila kupress power button. Tatizo ni nini? Naomba msaada plz.
  3. N

    Kuanguka kwa startups Kenya licha ya ufadhili mkubwa

    Dah biashara za start up zinachangamoto sana. Rasilimali watu, pesa na usimamizi bora wa biashara nk vinafelisha sana
  4. N

    Tatizo lolote la PC/device

    Automatic update nazo nimezuia. Nilipokuwa na window 7 hili tatizo halikuwepo kabisa
  5. N

    Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Habari Naomba mwenye program ya SPSS- kwaajiri ya data analysis anisaidie kuipata. Asante
  6. N

    Tatizo lolote la PC/device

    Asante kiongozi. Nafikiri kama kuna settings za kuzuia hili nizifanye. Naona kubadili window ni last option maana inaitaji muda zaidi, sina hio window 8.1 na muda wa kutosha. Asnte
  7. N

    Tatizo lolote la PC/device

    Nimefanya hivi; 1.Nimezuia background apps zote zisitumie data. 2. Nimeset metered connection 3. Nimeweka data limit per day ( lakini data nazotumia kwny simu kwa wiki, hazitoshi kwenye PC kwa masaa 2 wakati kazi nazofanya ni zilezile) Natumia mtandao wa Tigo
  8. N

    Tatizo lolote la PC/device

    Habari wakuu Naombeni msaada wenu Pc yangu inatumia data nyingi kupita kiasi. Ina window ten pro. Nimejaribu kusolve kwa njia nyingi zinazooneshwa na google lkn sijafanikisha. Saidia hapa
  9. N

    INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    Habari Nahitaji miti ya matunda ambayo majani yake hayaliwi na mbuzi/ng'ombe Unayo ipi? Asante
  10. N

    Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Msaada Nimekwama kujaza taarifa za chuo, kozi niliyosoma haipo kwenye machaguo. Help plz
  11. N

    Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Andika barua na cv kwenye file moja then attach
  12. N

    Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

    Habari... Nimesahau password yangu ya selform, naitaji ku-log in nibadili combination. Msaada tafadhali.
Back
Top Bottom