Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Kuna ambae ashakutana na tatizo kama hili. Msaada wakuu maana nimekwama na simu azipokelewi

41FF31C3-2484-437E-A0A9-B46553F46960.jpeg
 
Sielewi hii kitu, hivi ni kwa Afya tu au hata watu wa Elimu wanapititia hii. kwenye kuichagua vituo, vituo havijitokezi au vimeshajaa tayari
Unachotakiwa kufanya ni kuangalia nfasi zilizopo usifanye machaguo ya mkoa unaoutaka anza kuangalia mkoa kwa mkoa naona all wameweka mikoa yenye uhitaji na mikoa mingine itakuwa imejaa,Mimi Jana ilinisumbua hivyo Nikabahatisha mikoa
 
1.Nawaona vijana wakihangaika kwa wakuu wa shule kuomba barua angalau ziwaoneshe walijitolea ktk shule hizo.Japo si kweli.
2.Kutolewa kwa kibari cha issue Kama hizi ni fursa kwa wanaotangaza amini..hata wao walikisubiri kibali hiki kwa hamu connection na michongo itawale.

MUNGU NA AKATENDE NDUGU ZANGU MPATE AJIRA NCHI NI CHANGA SANA HII WQSOMI MNAHITAJIKA Hatukufikia hatua ya degree holder mfagie barabara.
 
ni kweli aisee,mimi sijaona sehemu ya C.V lakini imeleta asilimia 100 kila sehemu.sijui itakuaje.na imesema maombi yametumwa
 
yani
1.Nawaona vijana wakihangaika kwa wakuu wa shule kuomba barua angalau ziwaoneshe walijitolea ktk shule hizo.Japo si kweli.
2.Kutolewa kwa kibari cha issue Kama hizi ni fursa kwa wanaotangaza amini..hata wao walikisubiri kibali hiki kwa hamu connection na michongo itawale.

MUNGU NA AKATENDE NDUGU ZANGU MPATE AJIRA NCHI NI CHANGA SANA HII WQSOMI MNAHITAJIKA Hatukufikia hatua ya degree holder mfagie barabara.
hatari, hapo kuna dili zitapigwa sana.na hata afya pia ni hivyohivyo
 
Ivi cv waliyosema kwenye tangazo tunaandika inajitegemea na Kuna sehemu ya kuattach kwenye mfumo ukiacha barua kwa waliyomaliza kuapply
 
Halafu mfumo hawauoneshi shule private pale sehemu ya working experience manake wengine tulishawahi kuajiriwa kwenye hizo shule
 
hii kitu mimi nimeshangaa nimemaliza halafu naona system imesema maombi yametumwa wakati cv sikuona pakuweka
 
Weka yaliyoko kwenye cheti,mi mwanzo nlikua na matatu kwa mfumo ule wa mwanzo kipindi cha marehemu jiwe,ila jana ikabidi nifuate vile mfumo unavyotaka kwa kujaza majina yaliyoko kwenye cheti,so nikaweka mawili
Uliwezaje kuondoa jina la kati mbona mimi mfumo unakataa kuliondoa!
 
Uliwezaje kuondoa jina la kati mbona mimi mfumo unakataa kuliondoa!
Nenda sehemu yenye taarifa binafsi then utaona option ya oanisha taarifa na NACTE hapo utaingiza namba yako ya mtihani na mwaka wa kumaliza ,ikiwa sahihi utaletewa pale jina lako na shule uliyosoma then utaona sehemu ya kusave ,hapo unakuwa tayari ushabadili
 
Back
Top Bottom