Mkuu niliwahi ku address hili tatizo la PC yangu aina ya Toshiba portege z30a, nashukuru nilipata clip Moja YouTube jamaa kaifungua na kukata kiwaya kidogo kilichopo kwenye touch pad Kisha akaifunga na kuwasha tatizo likaisha NAMI nilifanya hivyo tatizo likaisha, lakini sasa hii PC battery yake ni ya ndani na baada ya kuifungua screw zake kurekebisha tatizo ya touch pad na kuisha, battery nayo ikagoma kusoma yaani nimejaribu kutoa na kuweka lakini imegoma kusoma kabisaa Hadi nafikiria kuagiza battery nje lakini kabla sijaagiza hiyo battery una ushauri Gani Kwa tatizo hili jipya maan battery langu lilikuwa linakaa na charge kutwa nzima kama simu vile.
Kwa sasa naitumia PC yangu kama desktop vile wakati ilikuwa inakaa na charge kutwa nzima


.
Maoni Yako kiongozi