Recent content by Noel Shem

  1. N

    Nimevamiwa na nyoka aisee ni hatari

    Hapa Mim nimeshangaa cjaww ona nyoka akitafuna zaid ya kumezaaa...
  2. N

    Nimevamiwa na nyoka aisee ni hatari

    Hiv nyoka si huwa anameza tu
  3. N

    Mume wangu hapendi kula nyumbani

    Dah Dah Yaani kama we no mwenye mume Kwa comment hii
  4. N

    Ushauri kwa walimu wezangu watarajiwa

    Waambie pia wasilazimishwe kujazwa form za CWT na kupewa vi elfu tano au kumi. Waambie kujiunga ni hiyari
  5. N

    Nimemtimua shemeji yangu, kumbe usiku alikuwa analala uchi chumba kimoja na mwanangu mdogo!

    Ndg wa jinsia gani weka wazi.. ni rahis Sana kujudgee.. mdogo ako wa kike usimruhusu na nafasi ipooo??
  6. N

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mzeee wa chaiiiii..?umekuwa TBS ya rikiboyyy Acha uzwazwa bas
  7. N

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hpa Kama polisi yumo humu hii anaijua kabsa
  8. N

    Mali za Serikali Kukamatwa

    Angalieni figure vizur mwandishi amepotoshaaass.. lkn Kwa kutojua Kwan wengi wa wahariri wetu bado ni ngumbalu taarifa kama hii unaiandika front page halfu totally unapotoshaaa...hya nndo makosa yakufungia hivi vipeperushii... Trillion 97, wwkati bajeyi ya tz mwaka huu nadhani ni 40trillion....
  9. N

    Mali za Serikali Kukamatwa

    Achana na mwandish haijui 97 trillion..hyo hta billion 100 haifiki
  10. N

    Mali za Serikali Kukamatwa

    Mwandish wa hki kipeperushi anaijua kweli trillion 97....??
  11. N

    FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

    Nahodha mwenye miaka 30🤭🤭🤭... Mtoa mada unataka tuongee
  12. N

    Pep Guadiora kocha pekee ambae hajawahi kufukuzwa kazi

    Na yeye anatembele nyota ya timu kubwa zenye mafanikio tayri...na uwekezaji mkubwa wa pesa
Back
Top Bottom