Recent content by Noel Ngiama Makanda

  1. Noel Ngiama Makanda

    JamiiForums Tanzania Wanaojiandaa kufunga starlink Internet ya Elon Musk wakidhani ni bei chee wanaota ndoto za alinacha,

    Kama kuna uwezekano wa kuaccess nyumba kama tatu na kuendelea, itakuwa ni deal sana. Unaweza kugawana cost ikashuka chini
  2. Noel Ngiama Makanda

    JamiiForums Tanzania Samia Scholarship ni uwekezaji wenye tija

    Na iwe ni nje ya nchi ili kuleta utaalamu tofauti ndani. Zaidi wangekazania kwenye kozi kama computer science na zinazohusiana na technology
  3. Noel Ngiama Makanda

    JamiiForums Tanzania Eric Hamisi aliyetumbuliwa Bandari ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa MSCL

    Huyu jamaa alikuwa huku huku kabla ya kuwa bosi wa Bandari.
  4. Noel Ngiama Makanda

    JamiiForums Tanzania Kama DED anaandika Barua hivi, kuna haja ya kufanya Reformation kwa hawa watu

    Sentensi ni ndefu sana na hakuna vituo. Content haina shida. Sema barua hizo Ma-DED wanaandikiwa
  5. Noel Ngiama Makanda

    JamiiForums Tanzania The Guardian mnaniangusha. Kiingereza gani hiki?

    Ministry to review laws ( kama mchakato ndio unaanza) au Ministry is reviewing laws ( kama ni kazi inayoendelea) Ministry reviews laws inaweza kuwa grammatically correct lakini haivutii
  6. Noel Ngiama Makanda

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanatubeba sana!!

    Moderator
  7. Noel Ngiama Makanda

    JamiiForums Tanzania Masha afafanua kuhusu kufa kwa Fast Jet

    Interview nzuri sana. Fast jet ilikuwa kampuni iliyotuwezesha wanyonge tupande ndege. Hawa AirTanzania bei zao zipo juu sana.
  8. Noel Ngiama Makanda

    JamiiForums Tanzania Masha afafanua kuhusu kufa kwa Fast Jet

    Kaishi nje
  9. Noel Ngiama Makanda

    JamiiForums Tanzania Jokate: Kila jambo na wakati wake

    Hongera zake kwa Hilo jambo.
  10. Noel Ngiama Makanda

    JamiiForums Tanzania UKIMWI, Pombe, Kitimoto na Urbanization ni Threat to National Security

    Hapo kwenye pombe ni Wivu tu
  11. Noel Ngiama Makanda

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu anajua kuongea Kiingereza?

    Niliona kwenye CV yake kasoma nje, UK na Pakistan
  12. Noel Ngiama Makanda

    JamiiForums Tanzania English learning thread

    Let’s improve our vocabulary
Back
Top Bottom