Ndugu zangu watanzania mabibi na mabwana awali ya yote hatuna budi kumshukuru mwenyezi mungu kwa pumzi anayotupatia .Kipekee napenda kutoa pole kwa watanzania wote kwa msiba uliotukuta kwani ni wetu sote.
Ningependa kuwasii ndugu zangu watanzania na viongozi wa umma kwa ujumla kuwa mungu...
Jamani mm ni kijana ambaye unapenda sana kujiajil sema nataka nifungue kama bar ya kunywa vivywaji mbali mbali ,Naomba mchanganuo wa ghalama zake
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.