Lowassa kurejea CCM: CHADEMA imepata penati dakika za lala salama!

Utetezi mbovu sana huu.
Siandiki utetezi ila kwakua we ni mwana fisiem najua walishakuondoa ubongo, sasa nikuulize amekuja kwenu unasemaje? Maana ******** alikua kila siku anaimba fisadi lile fisadi lile sasa je atampeleka kwenye mahakama ya mafisadi?
 
Lowasa kaogopa aibu ya kuwekwa benchi 2020 kaamua kukimbia, ila chadema jeuri huyu mzee hawajawahi kumpa hata ujumbe wa nyumba kumi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mtazamo wako hapo Lowasa atakuwa liability au asset kwa ccm?

In God we Trust
Neither asset nor liability. Lowassa ameshafika mwisho Wa safari yake kisiasa, labda apewe nafasi ya kuteuliwa ili alinde fikra na afya kiakili
 
Kwakuwa siupendi unafiki, nakiri kufarijika na kitendo cha Lowassa kurejea CCM Jana. Nilikuwa kati ya watanzania Wa mwanzo kupinga kitendo cha Lowassa kuhamia CHADEMA. Sikupinga wala sasa sifarijiki kwakuwa ni mwanachama au mshabiki Wa CHADEMA.Sikuwahi kujiunga na chama chochote cha siasa hapa Tanzania au kwingineko.

Lakini, natamka wazi hapa kuwa Mimi ni muumini Wa demokrasia ya ushindani na ya kushindana kwa hoja. Furaha yangu wakati wote ni kuona kuna chama tawala imara na vyama vya upinzani imara. Watawala wakiwa imara na wapinzani dhaifu, kutakuwa na tatizo. Halikadhalika, upinzani imara unapaswa kuendana na watawala imara.

Sijifichi kusema kuwa Lowassa, tangu ahamie CHADEMA 2015,amekuwa kigingi cha ustawi Wa chama hicho. Kujiimarisha kwake kulikuwa kila kukicha kitisho kipya kwa CHADEMA. Nilikuwa nasikitika na kuisikitikia Sana CHADEMA ikizingatiwa kuwa ndio viongozi Wa wapinzani nchini. Yaani, CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani.

Kuondoka kwa Lowassa CHADEMA ni fursa adhimu kwa chama hicho kujipanga upya na kujiimarisha vya kutosha. Ni Kama kupata penati wakati Wa dakika za nyongeza. Lowassa Si mwanasiasa Wa kitaasisi. Yeye hujijenga na kujiimarisha binafsi.

Kazi kwenu CHADEMA, mkipaisha mmekwisha!
Safi sana kaka mkubwa una upeo mkubwaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndipo mnapokosea - si wakati wa kusema apige nani - huyu mnayempigia debe TL ikitokea baada ya matibabu akaamua kuhamia CCM si mtakuwa mmekwaa kisiki tena?

What so important kwenu ni kujenga taasisi imara yenye falsafa makini kisha watu wakione CDM kama chama chenye nia ya kushika dola badala ya kuendelea kuwa chama chenye lengo la kulipiza visasi - LISSU Hafai kuwa Rais kamwe!!
Mstari wa mwisho unanuka mavi ya nguruwe..kakojoe ulale
 
Kuondoka kwa Lowassa CHADEMA ni fursa adhimu kwa chama hicho kujipanga upya na kujiimarisha vya kutosha. Ni Kama kupata penati wakati Wa dakika za nyongeza. Lowassa Si mwanasiasa Wa kitaasisi. Yeye hujijenga na kujiimarisha binafsi.

Kazi kwenu CHADEMA, mkipaisha mmekwisha!
Mnapata penati dakika za nyongeza wakati mshapigwa 5-0, haisaidii sana. Should've been benched immediately after 2015 elections and the coach (mbowe) sacked.
 
Neither asset nor liability. Lowassa ameshafika mwisho Wa safari yake kisiasa, labda apewe nafasi ya kuteuliwa ili alinde fikra na afya kiakili
Mzee Lowasa kwa sasa amechoka kisiasa anachofanya ni kulinda alicho kikusanya ujanani kisipotezwe

In God we Trust
 
Sidhani kama Lowassa alizuia pakubwa CHADEMA kujipanga upya na kujiimalisha. Kama kuna mtu au watu wanaozuia Chama kujipanga, Lowassa hakuwa miongoni mwa top culprits.
 
hahahahahaaaaaaaaaa kipindi chote cha utawala wa mwenyekiti wa sasa C C M anaimarisha sana upinzani , angalia maamuzi yake .kununua wapnzani na kuwapa vyeo. ni kosa kubwa kwa wazalendo wa chama. kuzuia mikutanao ya vyama vya upinzani raia wanaona na wana chukia sana , kukurupuka kufanya maamuzi akiwa na mkulu wa serikali mfano msakata la korosho raia wamnamshangaaa, kumrobe mshindani wake katika uchaguzi mkuu akifkri wapinzani wote wana mtu mmoja tu na akashangilia ni kosa la kiufundi. kulazimisha watu wote walipe kodi ya 20,000/= ili watambuliwe kufanya biashara hasta kama ni chini ya mtaji wa kutozwa kodi raia wachoka zaidi . kuwaambia watu wote waombe ajira ya ualimu kwa kodi ya 20,000/= wakati inajua itaajiri watu si zaiid ya 5000. ni kuonea wanyonge ambao hata pesa za kujikimu hawana na wamesumbuka mda mrefu mtaani wakitafta riziki. sasa kwa mambo ya aina hiyo ni fursa kwa wapinzani kweli kuchipua na kukukua zaaidi
 
Kabla ya uchaguzi wakati ule, ilionekana Lowassa hakuwa na mpinzani ndani ya CCM.

Wengine tuliiunga mkono CDM knowing Lowassa ni mtu wa aina gani. Nilikuwa naingalia CDM kama taasisi bila kujali UKAWA ingemuweka nani kuwa mgombea.

Lakini sote tunajua kilichotokea. CCM wakamkata Lowassa. Kilichofuata ni blunder ya karne kwa CDM kumchukua Lowassa kuwa candidate wao. It was such a huge disappointment to me.

Between Lowassa na Pombe, nikaona may be Pombe is a lesser evil. The rest, as they say, is history.

Now we are back to square one. But CDM is definitely weaker now. Selling point itakuwa nini? Ufisadi upi kama mlimchukua Lowassa.

All said, Lowassa's defection to CCM is a blessing in disguise for CDM. Wil they take the opportunity? With the same leaders who embraced Lowassa? Time will tell.

Selling points? What a big joke! Hizi ni za kutafuta zama hizi? Au ni kwa sababu mawazo tofauti na ya watawala siku ni uchochezi? Methinks there are now more selling points than there have ever been since this country got independence. Ufisadi umeisha? Ripoti za CAG zinasemaje? Mimi nadhani tukiwa wakweli kwa nchi yetu, misingi yote ya kisiasa na kijamii iliyoasisi taifà hili haijapata kutikiswa kama ilivyotikiswa kipindi hiki. Sera za uchumi zilizosimikwa kwa miaka 30 nayo sasa inabomolewa kwa kasi kubwa bila kupewa falsafa mbadala. Kama ni siasa za majukwaani haijapta kuwa nyepesi kwa wapinzani kama kipindi hiki.
 
Selling points? What a big joke! Hizi ni za kutafuta zama hizi? Au ni kwa sababu mawazo tofauti na ya watawala siku ukosoa ni uchochezi? Methinks there are now more selling points than there have ever been since this country got independence. Ufisadi umeisha? Ripoti za CAG zinasemaje? Mimi nadhani tukiwa wakweli kwa nchi yetu misingi yote ya kisiasa na kijamii iliyoasisi taifà hili haijapata kutikiswa kama ilivyotikiswa kipindi hiki. Sera za uchumi zilizosimikwa kwa miaka 30 nayo sasa inabomolewa kwa kasi kubwa bila kupewa falsafa mbadala. Kama ni siasa za majukwaani haijapta kuwa nyepesi kama kipindi hiki.
Yes selling points my friend!
By embracing Lowassa, mtu aliyeshutumiwa kwa miaka tisa kuwa ni fisadi, CDM ilishapoteza moral authority ya kuongelea ufisadi hata kama upo na ni mbaya zaidi wakati huu.
Ngumu kuanza kushutumu ufisadi na viongozi hawa hawa.
Lazima kuanza upya.
 
Hapo ndipo mnapokosea - si wakati wa kusema apige nani - huyu mnayempigia debe TL ikitokea baada ya matibabu akaamua kuhamia CCM si mtakuwa mmekwaa kisiki tena?

What so important kwenu ni kujenga taasisi imara yenye falsafa makini kisha watu wakione CDM kama chama chenye nia ya kushika dola badala ya kuendelea kuwa chama chenye lengo la kulipiza visasi - LISSU Hafai kuwa Rais kamwe!!
Nimeamini kweli ccm imevamiwa na watu wenye roho mbaya
 
Kwakuwa siupendi unafiki, nakiri kufarijika na kitendo cha Lowassa kurejea CCM Jana. Nilikuwa kati ya watanzania Wa mwanzo kupinga kitendo cha Lowassa kuhamia CHADEMA. Sikupinga wala sasa sifarijiki kwakuwa ni mwanachama au mshabiki Wa CHADEMA.Sikuwahi kujiunga na chama chochote cha siasa hapa Tanzania au kwingineko.

Lakini, natamka wazi hapa kuwa Mimi ni muumini Wa demokrasia ya ushindani na ya kushindana kwa hoja. Furaha yangu wakati wote ni kuona kuna chama tawala imara na vyama vya upinzani imara. Watawala wakiwa imara na wapinzani dhaifu, kutakuwa na tatizo. Halikadhalika, upinzani imara unapaswa kuendana na watawala imara.

Sijifichi kusema kuwa Lowassa, tangu ahamie CHADEMA 2015,amekuwa kigingi cha ustawi Wa chama hicho. Kujiimarisha kwake kulikuwa kila kukicha kitisho kipya kwa CHADEMA. Nilikuwa nasikitika na kuisikitikia Sana CHADEMA ikizingatiwa kuwa ndio viongozi Wa wapinzani nchini. Yaani, CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani.

Kuondoka kwa Lowassa CHADEMA ni fursa adhimu kwa chama hicho kujipanga upya na kujiimarisha vya kutosha. Ni Kama kupata penati wakati Wa dakika za nyongeza. Lowassa Si mwanasiasa Wa kitaasisi. Yeye hujijenga na kujiimarisha binafsi.

Kazi kwenu CHADEMA, mkipaisha mmekwisha!
Nyumbu bhana shida sana!! Hawaeleweki...!!
 
Back
Top Bottom