Recent content by Nockout

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke subiri uvuliwe, usivue mwenyewe

    Mwanamke mwingine anavaa boxer sasa kuna raha ipi ya kumvua nyupi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Moshi: Kumiliki jiko la nguruwe ni zaidi ya kuajiriwa Serikalini

    Twende Banana, Dar..kitimoto pori taaaamu kama uch.. Ukitoka kutumia, ukaona tena, unatamani kutumia
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ziara yangu ya siku 6 nchini Korea Kaskazini: Tanzania hakuna udikteta

    Israel ni wataalam wa Ujasusi duniani kuzidi nchi zote hata USA. Nchi nyingi zinawaogopa wanaokwenda huko wakidhani huenda ni majasusi wanaotumiwa na Israel.
  4. N

    JamiiForums Tanzania CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    Kuhusu uzalendo sawa, lakini tuangalie outputs...siyo kwamba tunajidharau watanzania, lakini ukweli unabakia, performance ya mkenya ofisini ni watz wachache wanaweza kufikia level yao katika top managerial positions...
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jumamosi mbaya: Mpenzi kaja ghafa kakuta mdada anafanya usafi ndani, najitahidi kuuzima moto hapa

    Siku nyingine usiache kutafuna.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Watambue kwa picha watu maarufu waliopata kikombe cha babu Loliondo

    Niko nacheka mwenyewe hapa
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila tendo la ndoa na mume wangu hunipa maumivu chini ya kitovu

    Kifungo cha shetani asiyetaka uolewe. Piga maombi kwa sana. Halafu uache uzinzi usiwe na gono
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Embu funguka, umemsevu mchepuko wako kwa jina gani?

    Simu yangu ina passwords 3. Michepuko wanajua nina mke. Hawapigi wala kutuma msg mpaka niwatafute. Kwahiyo nimewasave vizuri: baby, Malaika, Soulmate, Beautiful, n.k
  9. N

    JamiiForums Tanzania Relief for Afrika

    Umeiona wapi
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimempa mimba binti ambaye si wa ndoto zangu

    Huenda ana mke huyo
  11. N

    JamiiForums Tanzania Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

    Hahahaaa.....nami nisaidie kupata namba ya mpishi mzuri
  12. N

    JamiiForums Tanzania King Mswati III atangaza mabadiliko ya jina jipya la nchi ya Swaziland

    Duh nchi ameipa jina lake kabisa. Kweli hii ndo Africa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mafuta yenye ubora kwa gari yako

    Hahahaa.....sijawahi kumiliki Passo. Nimeanza kumiliki gari, Harrier
Back
Top Bottom