Recent content by Noah..

  1. Noah..

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa kuchepuka hii imekaaje?

    Mada ifungwe….. umemaliza kila kitu
  2. Noah..

    JamiiForums Tanzania Panya road Wametikisa huko Mbagala Saku

    Apo nyuma yao kuna panyabook, yani wakidhibitiwa hao hao panyaroad hawafurukuti tena….
  3. Noah..

    JamiiForums Tanzania TANZIA Nigeria: Sis Osinachi Nwachukwu aliyeshirikishwa wimbo wa ‘Ekwueme’ afariki dunia

    “The lord brought to, and the lord will take us through” Rest in peace
  4. Noah..

    JamiiForums Tanzania Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

    Mama ntilie bado hajapandisha bei…. Ila hicho kipimo chake ndo noma!! Vijiko 7 wali wa buku umeisha…
  5. Noah..

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mheshimiwa Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania

    USHAURI KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA Kwanza nichukie nafasi hii adhimu kukupongeza kwa kazi kubwa unayoifanya katika kuhakikisha unaleta maendeleo ya haraka kwa taifa letu la Tanzania. Umefanya mengi katika kuhakikisha elimu inakuwa bora na nafuu, maji yanapatikana kwa...
  6. Noah..

    JamiiForums Tanzania Fursa wahanga wa ajira

    Duu.. Kwa sifa hizo na bado unatafuta kazi!? Ataree
  7. Noah..

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutengeneza wireless charge

    Pale kuna sumaku na kichwa cha charge kinachoingia kweny Umeme... Ingawa pichan havipo
  8. Noah..

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutengeneza wireless charge

    Kweli kabsa.... Watu wana maarifa ya hali ya juu!!
  9. Noah..

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutengeneza wireless charge

    Ni kweli.... Lkn Hakuna aliyezaliwa na ujuzi, wote walijifunza! Nimesikitika katika hilo tukio lako
  10. Noah..

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutengeneza wireless charge

    Hahah.... We unapotosha umma
  11. Noah..

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutengeneza wireless charge

    Ninaufahamu nao.... Coz nimesoma Auto electrical, so A, B, C za electronic hazijapita kushoto mkuu
  12. Noah..

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutengeneza wireless charge

    Naonekana kama nachekesha eehh!?[emoji2] [emoji2] [emoji2], ni technology ambayo si ngumu kama una idea na electronics! Ikanivutia kujaribu icho kitu... Ila skupata matokeo chanya ndo mana nkaomba msaad huku mkuu
  13. Noah..

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutengeneza wireless charge

    Nitashukuru kwa niaba ya wana!!
  14. Noah..

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutengeneza wireless charge

    Unaposema simu ya kisasa.... Nadhani smartphones ndo unaongelea! Na katika jaribio langu nimekuwa nikitumia simu za aina hiyo mkuu
  15. Noah..

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutengeneza wireless charge

    Huwa natumia sumaku ili kuwezesha coil kupokea.... Au kuna aina maalum ya magnetic inayotakiwa!?
Back
Top Bottom