Recent content by Noah Lucas

  1. Noah Lucas

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Israel yafungua Ubalozi Tanzania

    Ni jambo jema ambalo mwenye akili timamu lazima alikubali Israel ni Taifa lililojitosheleza karibia kwa vitu vingi.we wll gain a lot..
  2. Noah Lucas

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio mademu wakali kuliko wote Bongo

    Hakuna kitu hapo! Umechemsha
  3. Noah Lucas

    JamiiForums Tanzania Kilichonikuta na mi Bombardier yenu sipandi tena!!!

    Tuendelee kuwa wavumilivu labda mambo yanaweza kubadilika.bado mapema
  4. Noah Lucas

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amtembelea Mke wake na Wagonjwa wengine Waliolazwa Muhimbili

    Ugua pole our first lady
  5. Noah Lucas

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Israel yafungua Ubalozi Tanzania

    Hongera sana Rais wetu kwajitihada ulizofanya hadi kufanikisha hilo
  6. Noah Lucas

    JamiiForums Tanzania Wapi Patamu na Kwenye Furaha Zaidi

    Mada hujaiweka vizur mm ninavyojua patamu ni pale unapoishi na mwenz wako kwa kuelewana katka ndoa na si unafiki
  7. Noah Lucas

    JamiiForums Tanzania MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Hakika huu ni unyama!vyombo vya dola vichukue nafasi yake
  8. Noah Lucas

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona kiongozi strategic kama Rais Magufuli!

    Ukweli mtupu!!! Tuzidi kumwombea
Back
Top Bottom