Mimi si mwandishi mzuri ila nitajaribu kuandika niwezavyo.
Mwaka 2018 niko kisiwani, nilikuwa nikinunua samaki wabichi(sato) napeleka mwanza, siku hiyo mida ya jioni napigiwa simu na wavuvi wa kisiwa cha jirani kuna mzigo mkubwa tu nikafuate.. nikaomba mtumbwi wa kasia kwa jamaa yangu mmoja...
1.Kiwanja ni changu ndio
2. Nimekipima mwaka 2019
3. Nyaraka ninazo za mauziano
4. Toka nimepima sikuwahi kupata muda wa kwenda kufatilia tena kuhusu hati maana niliondoka mwanza
5. Tulitoa gharama za upimaji kwa watu wote tulio na viwanja huko lilikua zoez jumuishi
Habarini za leo.. ninauza kiwanja kipo kanyerere center ni mwendo wa dakika 10 kukifikia liko tambarare, umeme na maji vimefika..
Kiwanja ni 18m upana kwa 40m urefu, kiwanja kimepimwa ila hati sijaifuatilia..
Ninakiombea 13 milion (tunaweza kuongea pia)
Sijaambatanisha picha maana siishi...
Nadhani kati ga mwaka 2010 hadi 2012 stamdi hii ilikuwa imejengwa tena kwa pavement kabisa..... shida sijui ni mkandarasi ama nini maana ilitengeneza mabonde mapema sana hatimaye imekuwa hivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.