UKWEL HALISI WA MAISHA YANGU
naitwa jey,nimezaliwa mwaka 1990,mkoani iringa,nina umri wa miaka 26,nimeishi kwa shida sana katika maisha yangu yote kwan nilizaliwa peke angu ila usiku nilikua na rafiki mtoto wa kike ambae hakuonekana mchana ila usiku tuu,alikua akinishtua sana hasa wakati akija...