Ndugu zangu naomba muongozo na ushauri wenu pia, Mimi nilichaguliwa kujiuga BESHA institute of health, kozi niliyochaguliwa kusoma ni community health CHUO kipo Tanga na nilishaenda nikafanyiwa usajili pale baada yakupangiwa na NACTE,
Ila hivi juzi nimeingia NACTE online nimekuta wamenichagua...
Habari za muda ndugu zangu! Kunakitu sijakifahamu bado, katika maswala yakazi ukimtaja daktari ama nesi ni watu wanao fahamika kwakazi zao ila mmi sijajua kuwa watu wale wanaosoma community health in watu watu wenye kuandaliwa kujakufanya kazi gani? Naomba kufahamisha kwasababu sifaham...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.