Nimepangiwa vyuo viwili tofauti kusomea community health na Journalism, niende kipi?

no huury

Member
Oct 16, 2016
16
4
Ndugu zangu naomba muongozo na ushauri wenu pia, Mimi nilichaguliwa kujiuga BESHA institute of health, kozi niliyochaguliwa kusoma ni community health CHUO kipo Tanga na nilishaenda nikafanyiwa usajili pale baada yakupangiwa na NACTE,

Ila hivi juzi nimeingia NACTE online nimekuta wamenichagua Mara ya pili na chuo nilicho chaguliwa tena ni SAUT MWANZA na kozi sio ile ya afya tena ila ni kozi nyingine inaitwa journalism and media studies,

Sasa sielewi inakuwaje kwa huu utaratibu sijui nielekee wapi, naomba mnisaidie cha kufanya maana naogopa kupoteza karo jamani, naombeni ushauri wenu.
 
Kama una kipaji cha ushilawadu nenda journalism inalipa. Kama hauna nenda community health.
 
Back
Top Bottom