Elimu yangu ni ya uProf wa kunanga bunge la nchi na serikali yangu huko radio UNO.
Hohehahe ni yule anaye shauri ulinzi kwa CAG. Huo ulinzi anapewa na nani dhidi ya nani??
Hii haina tofauti na Kiongozi kama PM mstaafu kuhamia upinzani akashiriki maandamano batili, yule mlinzi wake atapambana...
Ulinzi uongezwe huko kwenye ujenzi wa SGR na Stigler HEPD tujue raslimali zinazotokana na eneo linalo husika na ujenzi ni kiasi gani na taifa linafaidika vipi nazo?. Mfano magogo ya miti itakayo katwa.
Yasemekana wachina waliojenga TAZARA baadhi yao ni matajiri wa kutisha huko china kwa utajiri...
Ukiona hivyo jua kutakuwa na zoezi la picha ilipangwa. Isiwe EL pekee kupiga picha na mh Rais.
Kumbuka bila kujiongeza unasahaulika oi. Kivuli cha flyover wakati wa jua la utosini la mchana. Juzi kati hapa mtu kashindwa swali, komandoo ni nickname ya aliye kuwa rais wa wapi? Ara ndogo angalizo.
Yuko kocha wa timu ya taifa ya Brazil jina sikumbuki alianya tafiti wachezaji soccer wa timu ya taifa alipo waachia kukutana, na wapenzi wao siku moja kabla ya mechi uwanjani kesho yake walipiga mpira mwingi sana
Wako Wema wangapi kwenye uhamasishaji?
Wachezaji wetu wa soccer wa zamani...
Fedha ya uchaguzi ingewe kwa KM za ujenzi wa Sijiara zingepatikana ngapi ima madaraja mangapi au engine ngapi, mabehewa je???. JPM aongezewe miaka iwe 7 tusichezee fedha wakati tumempata Rais anayetosha kwa asilimia nyingi.
Jasusi muuza madafu ama miwa niwakuogopwa kuliko komandoo pamoja na huu ukweli kuwa wote wanautaalamu wa kutumia visu.
,
Huu uvumi wa kuwa Abunuasi kitaaluma alikuwa jasusi una ukweli wowote?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.