Rais Dr. Magufuli afanya mazungumzo na Rais Mstaafu Dr. Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es salaam

Karibu tutaambiwa neno KUWASHWAWASHWA ni mtindo wa muziki kama vile Tukunyema au Kiwazenza, hivyo kauli "wastaafu wengine wanawashwawashwa ni maana kuwa wanajiselebusha na mangoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyakati ngumu, binadamu huwatafuta wote, hata wale ambao mwanzoni aliwaona hawana maana.

Lakini ukweli ni kuwa wite hawa wanaunganishwa na dhamira ovu. Mwingine ni mlipukaji mwingine anaua huku anacheka.
 
Wamependeza sana. Hivi hii huwa inatokea kwa bahati viongozi kujikuta wamevaa mavazi ya kufanana au kadi ya mwaliko ilieleza "dressing code" wakati wa hicho kikao?

Ukiona hivyo jua kutakuwa na zoezi la picha ilipangwa. Isiwe EL pekee kupiga picha na mh Rais.

Kumbuka bila kujiongeza unasahaulika oi. Kivuli cha flyover wakati wa jua la utosini la mchana. Juzi kati hapa mtu kashindwa swali, komandoo ni nickname ya aliye kuwa rais wa wapi? Ara ndogo angalizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom