Recent content by NNJ7

  1. NNJ7

    NHC Shirika la Nyumba la Taifa Ilala

    Naomba msaada, Nataka kujua ni wapi kuna ofisi ya Shirika la Nyumba la Taifa Ilala Dar es salaam.
  2. NNJ7

    Je, hii ndio asili ya mtu mweusi?

    Barikiwa Sana kwa usomaji wenye tija
  3. NNJ7

    Hivi kujitibu kwa mitishamba na matunda na mbogamboga ....

    Soma hizo madini zilizoko kwenye madawa kisha Tafuta matunda yenye madini hayo uone kama hupati. Mfn. Ukosefu wa vitamin A husababisha ukavu macho pia (kupoteza Nuru ya macho) . Hapo hospital kuna tembe zenye vitamin A lakini pia Majani ya Mlonge yana vitamin A. Chagua utumie nini kutibu...
  4. NNJ7

    Je, Muisrael ana mfupa mmoja wa mkono?

    Namaanisha et badala ya kuwa na Radius na Ulna sasa wao wana mfupa mmoja tu. Nikweli?
  5. NNJ7

    Je, Muisrael ana mfupa mmoja wa mkono?

    Ndugu Embu Elezea kidogo. Hio Imekaaje. Je huyo wa namna hio Ataitwa binabamu au Ni Binadamu ila tu mlemavu?
  6. NNJ7

    Je, Muisrael ana mfupa mmoja wa mkono?

    No hawakuzungumzia ulemavu kabisa. Aidha Alienda mbali kabisa na kusema wameumbwa tofauti Ndomana wana akili kuliko taifa lolote
  7. NNJ7

    Je, Muisrael ana mfupa mmoja wa mkono?

    Nimebahatika kupita sehemu moja iv nikakuta mtu anamwambia Kaka mmoja at Mu-israel ana mfupa mmoja wa mkono. Binafsi nikaona nikimbilie huku kuuliza. Huenda kuna mtu alishawahi shuhudia hilo... Karibu...
  8. NNJ7

    Jibebe ya WCB ibebwe tu na BASATA

    Kapungukiwa na Hekima. Asinge laumu wimbo huo angetafuta namna ya kupambana na maradhi yake... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. NNJ7

    Jibebe ya WCB ibebwe tu na BASATA

    Duh Ndugu Unawajua mpaka majina yao. Unaonekana upo karibu yao sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. NNJ7

    Mchango wa dini katika kutetea haki za kiraia: Mohamed Said yeye ni kushutumu Wakristo

    Ni DINI ya kigeni tena yenye malengo ya Mapenzi. Sana wao imani yao kubwa imechungulia kwenye mapenzi. Kuwa na wake wengi na kuoana wao kwa wao. Na pia hata akhera wamepanga au wameandikiwa kuwa na wapenzi zaidi ya 60 na mwanamme mmoja ataongozewa nguvu za kiume ziwe na uwezo zaidi ya watu 5 na...
  11. NNJ7

    Mitandao ya simu (vodacom) hii sasa ni kero! kila ukipiga simu unaambiwa laini yako itafungiwa eti una usajili wa awali

    Kingine nisichopenda ni. Kusajili simucard Leo mara tu Unapata sms za Mganga wa jadi, "et Njoo uangaliziwe nyota n. K" il-hali ina dakika 20 tu na tangu usajiri ukamilike. Kwanini watuuzie line zilizotumiwa na marehemu.
  12. NNJ7

    Kisutu, Dar: Aliyekuwa mfanyakazi wa CRDB ahukumiwa kifungo cha jumla ya miaka 93 jela kwa makosa 31

    Ndio Miaka 93Jela kwa mujibu wa mwandishi wa uzi huu. Ila ni kwa makosa 32 na kila kosa atalutumikia kwa Miaka 3 (3x32=96) Sasa Labda pia kapunguziwa adhabu ya miaka 3 toka 96 hadi 93. Muwe mnasoma Taarifa kwa umakini [emoji121][emoji121][emoji121]
  13. NNJ7

    Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

    We kethika, Ni kabila lipi linaloongoza kuua waume zao ili warithi Mali?
  14. NNJ7

    Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

    Ndio sikuwepo siku ya mazishi
Back
Top Bottom