Labda alikuwa anamaanisha wanaume wa israel wana mikono ya kufyatuanaNimebahatika kupita sehemu moja iv nikakuta mtu anamwambia Kaka mmoja at Mu-israel ana mfupa mmoja wa mkono.
Binafsi nikaona nikimbilie huku kuuliza. Huenda kuna mtu alishawahi shuhudia hilo...
Karibu...
Uliwasikiliza vzr hao waliokuwa wanaambiana habari hizo? usikute walikuwa wanaongelea ulemavu wao kama taarifa ilivyo kuhusu wachina kuwa na vibamia.Nimebahatika kupita sehemu moja iv nikakuta mtu anamwambia Kaka mmoja at Mu-israel ana mfupa mmoja wa mkono.
Binafsi nikaona nikimbilie huku kuuliza. Huenda kuna mtu alishawahi shuhudia hilo...
Karibu...