Recent content by nngu007

 1. nngu007

  Wabunge wa CCM waanza kulalamikia utawala wa Rais Magufuli, wadai hali ngumu ya maisha

  Jacob gamaly a day ago HALI mbaya ya uchumi inaanza kuwaweka pamoja wabunge wa Tanzania, tayari wameanza kumshughulikia Rais John Magufuli, Ilikuwa minong’ono kwa mbunge mmoja mmoja wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kulalamikia namna uchumi wa nchi unavyoyumba miezi michache tangu Rais Magufuli...
 2. nngu007

  Baraza la wazee CHADEMA watoa angalizo kuhusu kauli za Rais

  BARAZA la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limeonya kauli zinazotolewa na Rais John Magufuli katika mikutano yake. ... Anaandika Pendo Omary. Baraza hilo limeeleza kuwa, kauli hizo zinaweza kusababisha matatizo kwa nchi hususani wakati huu. Kauli hiyo imetolewa leo na...
 3. nngu007

  Serikali yapanga kufanya mapinduzi katika sekta ya sheria, kuendeleza mchakato wa katiba mpya

  SERIKALI imesema itafanya mapinduzi makubwa katika sekta ya sheria, yatakayowezesha kufikiwa kwa mchakato wa Katiba Mpya, kukomesha rushwa, kuipa meno Sheria ya Ndoa na Mirathi na kuipa majukumu Mahakama ya Rushwa na Mafisadi. Maeneo mengine yatakayofanyiwa kazi ili kuboreshwa ni Sheria ya...
 4. nngu007

  Tanzania set to manufacture its own tractors and power tillers

  Tanzania will soon start to manufacture its own tractors and power tillers, thanks to $ 110 million loan from Polish government. Tanzania will soon start to manufacture its own tractors and power tillers, thanks to $ 110 million loan from Polish government. One of the investors from Poland...
 5. nngu007

  Hivi ndivyo Rais wa Botswana alivyomfagilia Rais Magufuli

  Hivi ndivyo Rais wa Botswana alivyo mfagilia Rais Magufuli BY CHOICETZ ON AUGUST 30, 2016NEWS Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, SADC, ambaye pia ni Rais wa Botswana Luteni Jenerali Dk. Seretse Khama Ian Khama, amempongeza Rais Magufuli kwa kuchaguliwa...
 6. nngu007

  Mchezo wa Shirikisho kati ya TP Mazembe Vs Yanga

  TP Mazembe 3 - 1 Young Africans 3 - 1 August 23, 20168:30am LIVE *Time shown in your time zone CAF Confederation Cup This match has ended. Upcoming related matches:
 7. nngu007

  Maalim Seif Shariff Hamad alivyomsaliti Alhajj Aboud Jumbe

  Maalim Seif alikuwa Waziri KIongozi...
 8. nngu007

  New hand shakes up Tanzania

  BY DAVID PILLING JULY 27 2016, 06:08 Tanzanian President John Magufuli has put his energies into revitalising and developing the country. Picture: REUTERS/SADI SAID FOR years, the image of Tanzania was that of an economic backwater: a peaceful and stable nation by Africa’s volatile...
 9. nngu007

  Uhuru Kenyatta is a CONMAN- Donald Trump on Uhuru's trip to Paris with daughter Ngina

  Just a month after endorsing former Kenyan Prime Minister Raila Odinga for President, Donald Trump has this time expressed his hate for Uhuru regime, terming it 'A fellowship of con-men'. Speaking to an ABC News pressman after his meeting with black pastors, the GOP said that Uhuru Kenyatta...
 10. nngu007

  India-Tanzania Trade reaches US$2.5bn in eight months

  Trade between Tanzania and India during the first eight months of this year reached US$2.5 billion, which was about 67 per cent of the total trade volume in 2014, figures from The Indian High Commission show. The January-August trade volume was nearly 82 per cent of what the two countries...
 11. nngu007

  Marekani yapongeza uchaguzi Tanzania

  Home ? Secretary of State John Kerry ? Secretary Kerry's Remarks ? 2015 Secretary Kerry's Remarks ? Remarks by Secretary Kerry: November 2015 ? Tanzanian Elections Tanzanian Elections Press Statement John Kerry Secretary of State Washington, DC November 5, 2015 Share on facebookShare on...
 12. nngu007

  Mke wa Lowassa autosa ubunge wa Viti Maalum CHADEMA

  By Mwandishi Wetu, Mwananchi DigitalMke wa aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama chaDemokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa,Regina Lowassa, ameikataa nafasi ya ubunge wa viti maalumaliyopewa na kamati Kuu ya chama hicho cha upinzani. Kwa mujibu taarifa wa kutoka familia ya...
 13. nngu007

  Kura za Maoni Tanga: CCM yafutilia mbali matokeo ya uchaguzi kura za maoni Handeni

  KIMENUKA TANGA! CCM YAFUTILIA MBALI MATOKEO YA UCHAGUZI KURA ZA MAONI HANDENI,AMBAPO MTOTO WA DR KIGODA ALIKUWA MSHINDi Kamati Kuu ya CCM imefuta matokeo ya kura za maoni katika Jimbo la Handeni, mkoani Tanga ambako Omar Abdallah Kigoda ambaye ni mtoto wa mbunge wa zamani, marehemu Abdallah...
 14. nngu007

  Hatimaye Israel yaleta Balozi Kamili Tanzania

  bado huyo balozi makao yake ni Nairobi
 15. nngu007

  Tanzania's troubling moves against freedom

  Tanzanian President and East African Community chair Jakaya Kikwete speaks at the East African Community summit in Dar es Salaam. ADISTURBING trend of repression has been sweeping across East Africa. From Ethiopia's crackdown on journalists and opposition viewpoints to Kenya's attempt to...
Top Bottom