Tanzania set to manufacture its own tractors and power tillers

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Tanzania will soon start to manufacture its own tractors and power tillers, thanks to $ 110 million loan from Polish government.

Tanzania will soon start to manufacture its own tractors and power tillers, thanks to $ 110 million loan from Polish government.

One of the investors from Poland, Julius Zellah, said the factory will be built in October and will be situated in Kibaha.

“The returns of the investment will be after 40 years. The price of tractors will be cheap. The government of Poland will provide funds for the project,” he said.

He added that the factory would have eight service centres.

Permanent Secretary in the Ministry of Industries, Trade and Investment, Dr. Adelhelm Meru, noted that the move was in line with the government’s industrialization drive.

“We will improve the industrial sector in the country and we believe that there are various investors out there who are willing to grab the opportunities,” he said.

=====

Permanent secretary in the Ministry of Industries, Trade and Investment, Dr Adrelhem Meru disclosed this in Dar es Salaam yesterday when he met with a team of investors from Poland in Dar es Salaam.

He said the government is determined to bring industrial development and is inviting investors to invest in the sector.

“We will improve the industrial sector in the country and we believe that there are various investors out there who are willing to grab the opportunities,” he said.

Dr Meru added that a cement factory will be built in Tanga and is expected to employ about 15,000 people upon completion.

According to the PS, a ceramic factory will be built by investors from China and it will also produce quality tiles.
One of the investors from Poland, Julius Zellah said the factory will be built in October, and will be situated in Kibaha.

“The returns of the investment will be after 40 years. The price of tractors will be cheap. The government of Poland will provide funds for the project,” he said.

He added that the factory will have 8 service centres. They will provide farm implements. Producers from Europe will bring modern technology by producing new and quality products and sell them at affordable prices.

Source: Govt to build tractor factory in Kibaha
 
Another day another joke

Kwa umeme upi tulionao kuweza kuset up hivi viwanda? Unless ni umeme wa power bank ya sim.

Magufuli is not serious. Badala ya kureview mikataba ya umeme na kuingia JV na pension funds wa invest kwenye umeme anawaambia waka invest kwenye mabwawa ya samaki kwenye nchi iliyojaa samaki kila mahala.

Investing in Power Generation vs Investing in fishtanks

Lini tutakuwa serious kama nchi jamani?
 
Tanzania mpya inakuja..iwe tulimchagua au hatukumchagua, inakuja...kwa Mungu hata mzoga unatoa asali- Bishop Gwajima
 
Kweli maneno huumba. Kila la heri kwenye utekelezaji, isiishie kwenye upembuzi na mchakato tu.
 
Kweli Waafrika tuko nyuma kimaendeleo. Poland ambayo raia wake wanakimbilia nchi nyingine kwa ajili ya matatizo mpaka wakasababisha BREXIT leo wanatupa mkopo dola milioni 110!
 
Kweli Waafrika tuko nyuma kimaendeleo. Poland ambayo raia wake wanakimbilia nchi nyingine kwa ajili ya matatizo mpaka wakasababisha BREXIT leo wanatupa mkopo dola milioni 110!

Mkuu hao wapolish wanakuja kutumia cheap labour kwa kutafuta faida itakayopatikana miaka 40 ijayo.

Wanaweza wakawa wayahudi wa Poland au warusi wa Poland hivyo pesa s tatizo kwa hayo makabila.
 
Magufuli na Mwendo wa mjerumani, watakuelewa ambao hawakuelewi kwa sasa.
 
Mkuu hao wapolish wanakuja kutumia cheap labour kwa kutafuta faida itakayopatikana miaka 40 ijayo.

Wanaweza wakawa wayahudi wa Poland au warusi wa Poland hivyo pesa s tatizo kwa hayo makabila.
Kuna vitu hapa sielewi kama unaweza kunisaidia,

Hiki kiwanda kitakuwa kinamilikiwa na serikali au huyo investor wa Poland?
Hiyo loan ni kwa Tanzania au kwa huyo investor ambayo serikali ya Tz ni guarantor?
Huyo investor atakimiliki halafu deni likishalipwa hiyo miaka 40 ndio wanakabidhiwa serikali ya Tanzania?
 
  • Thanks
Reactions: cpt
Kweli Waafrika tuko nyuma kimaendeleo. Poland ambayo raia wake wanakimbilia nchi nyingine kwa ajili ya matatizo mpaka wakasababisha BREXIT leo wanatupa mkopo dola milioni 110!

Hawakimbii moja kwa moja, wanajipa malengo miaka 3 hadi 5 wanakuwa wamejenga kwao na kupata mitaji ya biashara.

Wakiwa nchi zingine za Ulaya wanakodi nyumba kubwa na kuishi hadi watu 10 kwa nyumba moja.

Wana akili sana.

Wenye matatizo katika Eastern Block ni Waromania na kidogo Hungary halafu Serbia na Albania hawa ndio wana zile car wash ambazo wanapokezana kwa kuwa hawazungumzi kiingereza fasaha.

Wakitoka vizuri wanaanza kwenda shule, kuwa madereva wa mabasi na kazi zingine za kawaida tu.

Usiwadharau sana wazungu wote wa mashariki ya Ulaya, wapo wale wezi na walevi ambayo ni matatizo ya kila sehemu duniani.
 
Kuna vitu hapa sielewi kama unaweza kunisaidia,

Hiki kiwanda kitakuwa kinamilikiwa na serikali au huyo investor wa Poland?
Hiyo loan ni kwa Tanzania au kwa huyo investor ambayo serikali ya Tz ni guarantor?
Huyo investor atakimiliki halafu deni likishalipwa hiyo miaka 40 ndio wanakabidhiwa serikali ya Tanzania?

Kiwango cha uansidhi kimeishia hapo kwa mwandishi wa the Guardian.

Lakini inaonekana mwekezaji anaweka asilimia 100 katika mradi huo na serikali imemkodisha sehemu hiyo ya ardhi huko Kibaha atumie kwa kujenga kiwanda chake.

Ila hajanunua ardhi maana sheria haimruhusu.
 
Back
Top Bottom